Jtinah
Member
- Sep 20, 2021
- 16
- 36
Wakuu naombeni msaada.
Ijumaa mchana kuna watu waliingia kwangu wakafungua geti na milango (sijui funguo walipata wapi) wakaniibia vitu vyangu then wakafunga milango kama ilivyokuwa.
Mwenye kumfahamu mganga anaeweza kurudisha vitu+ kutoa adhabu kali anisaidie. Mwezi uliopita walimfanyia hivyo jirani yangu.