Kwanza na_declaire interest, Mimi sio msomi sana lakini nimeona haya na nimejiridhisha yafuatayo:
-Nimejiridhisha wabunge HAWAJUI wanachojadili mezani ni MOU na sio mkataba.
-Matumizi mabaya ya "taarifaaa" wakati mbunge akiwa anatoa hoja ama kufunguka.
-Spika anaingilia sana mbunge anapoongea, halindi muda wa mbunge aliyemuingilia . Spika angejikita kwenye KUONGOZA bunge na sio ku interrupt mtu anaeongea.
-Wabunge wanaiita Dubai ni nchi Yani hawajielewi kabisaaa
-Wamejikita kujibu hoja za wananchi kienyeji badala ya kuishauri serikali kipengele kwa kipengele na kutoa maoni ya nini kifanyike.
-Wananchi nao wanaogopa DP sababu tu ni waarabu.
-Wabunge wengi wanatoka nje ya hoja na wanajigonga na kusifu tu badala ya kuwawakilisha wananchi.
-Halima Mdee na Cecil Mwambie ni wabunge pekee waliojaribu kuishauri serikali ingawa waliopata upinzani mkubwa kutoka kwa spika.
-Nashindwa kuelewa kwanini mwanasheria nguli na spika wetu anaruhusu kina mwita Waitara na wenzake kutoka nje ya mada na kutupotezea mda wananchi badala ya kujikita kwenye swala la kuishauri serikali
-Nashindwa kuelewa hao wabunge wanaunga hoja zipi wakati wanatakiwa wajadili "MOU"
-Nalia machozi kabisa,,, kaaa spika anasema mjadala uishe sababu mwita ameshangiliwa sana na wabunge mpaka wamesimama, basi hamna haja ya kuendelea na mjadala huu na hoja imefungwa mkono.
Wabunge wazeni maslahi, usalama na ulinzi, wazeni mambo mengi na mumshauri mama yetu mh Rais na serikali yake vizuri. Wananchi tuna hoja na zinahitaji UFAFANUZI na kuna hoja za kufanyia kazi. Sisi sio vichaa.... Hivi ni LAZMA mwarabu ndo apewe??
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app