PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Acha kuwa PlayboymwemaImepita wiki moja tangu nifanye unsafe sex na yule msichana sasa najikuta uume wangu unawasha na kutoa maji maji kama usaha and ofcourse nimepanga baada ya miezi mitatu niende ANGAZA kucheki kama nimepewa lile gonjwa hatari... Lakin saiv ningependa mnisaidie tiba ya hili tatizo la uume wangu kuwasha na kutoa usaha... Asanteni!!
Asante mkuu nitaenda kumuona daktari mapema iwezekanavyoumepata gono hilo mdau fanya kamuone docta haraka kabla mambo hayaja haribika aise pia punguza kama sikuacha kabisa uplayboy
Kwa hichi kilichonipata lazima niache uplayboy mkuuAcha kuwa Playboymwema
Wacha kesho niende...!!!!Nenda hospital, gonjwa la zinaa hilo.
Ukichelewa utakuwa huzalishi
Mkuu tena unabahati maana umeukwepa UMEME.Pamoja Na matangazo yoteeeee ya kutumia kinga ukaona uyakomoe matangazo.Imepita wiki moja tangu nifanye unsafe sex na yule msichana sasa najikuta uume wangu unawasha na kutoa maji maji kama usaha and ofcourse nimepanga baada ya miezi mitatu niende ANGAZA kucheki kama nimepewa lile gonjwa hatari... Lakin saiv ningependa mnisaidie tiba ya hili tatizo la uume wangu kuwasha na kutoa usaha... Asanteni!!