Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais

Status
Not open for further replies.

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
16,158
33,523
Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia

Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais, leo naambiwa alipitia Uzi!

IMG_1885.jpeg


Am the encyclopedia

Britanicca
 
Afrika raia ni kafara tu!
Kisa uzushi, maneno, yote Alimradi watu wapige hela tu!
Ndio maana Mapinduzi kucha!
Gharama za yale magari ungepata mabasi mangapi ya watoto wa shule za msingi za kata? Ungepata library ngapi kila kata? Ungepata vitabu vingapi vya kusoma vya shule za msingi na sekondari?
Bima za afya kwa watoto zingelipiwa ngapi?
Bure kabisa kabisa 😡 😡 😡
 
Kimantiki kwenda kuzindua bweni 1 au matundu choo 120. Kwa ufadhili watu marelani...msafara magari 145.....na Rais juu....kweli tunajielewa?
Rais uzindua Miradi mbalimbali na kusikikiza kero za watu wake Moja kwa Moja

Akikaa ndani mseme Hana Muda na wananchi


Ziara za Ndani kwa Rais wa Nchi ni jambo la kawaida

Ni msafara gan wa Rais una magari 20?


Labda Rais wa kusadikika

Ulinzi wa Rais ukimbatana na viongozi wa serikali ni jambo la kawaida duniani kote
 
Rais uzindua Miradi mbalimbali na kusikikiza kero za watu wake Moja kwa Moja

Akikaa ndani mseme Hana Muda na wananchi


Ziara za Ndani kwa Rais wa Nchi ni jambo la kawaida

Ni msafara gan wa Rais una magari 20?


Labda Rais wa kusadikika

Ulinzi wa Rais ukimbatana na viongozi wa serikali ni jambo la kawaida duniani kote
Apunguzeer idadi maafisa na msafara magari 30 yanatosha lakini sio 145 inatia ukakasi nchi tegemezi juzi tu bajeti imegoma wamekwala BoT 1.4T ni aibu serikali imeishiwaaa.....tusifiche ni aibuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom