GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Kipindi cha Michezo Kizuri cha Usiku cha Sports Extra cha Clouds FM kinapendwa na kinasikilizwa na Wengi (GENTAMYCINE nikiwemo) si kwa Kuahidiwa nao kupewa Pesa Nono.
Baada ya Kitenge na Wenzake wa EFM Michezo Kukurupuka na kuja na Kipindi chao Kirefu cha Michezo cha Usiku cha E-Sports kuanzia saa 3 hadi Saa 5 Kuwadodea (Kuboa na Watu Kutokipenda kwani hakina jipya) hatimaye ili Kuvutia Wasikilizaji wengi wameamua kuja na Mbinu mpya ya Kuuliza Maswali Wasikilizaji na Ukishinda (ukijibu sahihi) unapewa Zawadi yako ya Shilingi Milioni Moja za Kitanzania.
GENTAMYCINE nimalizie kwa Kuwaambia EFM Michezo mkiongozwa na Boss wenu na mwana Yanga SC lia lia Maulid Kitenge kuwa hata mje na Ahadi za Pesa (kama hii) ila mkiwa hamna Ubunifu kwa Wasikilizaji wenu (hasa upande wa Contents zenu) mtakuwa mnapaka tu Rangi Upepo (Kazi bure) na baadae mtaanza kusema kuwa Mnarogwa na Washindani wenu ambao siwafichi kuwataja kuwa ni Clouds FM (CMG)