kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,447
- 21,589
Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu,
Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli zinavuruga chama Mbowe ana akili sana kamtia kwenye buyu la asali nae ajirambe!
Cheki hapo kosi la mafisadi upande wa upinzani maskini msigwa kaachwa!