Evody kamgisha
Member
- Aug 4, 2011
- 97
- 108
Baada ya Israel kumuua Kiongozi wa kisiasa wa HAMAS Ismail Haniyeh, inasemekana bado Israel inamuwinda Kiongozi wa kidini wa Iran Ayatollah Kamenei.
Kiongozi huyo wa kishia anadaiwa kutoa kauli nzito za kuiangamiza Israel baada ya Taifa hilo la mashariki ya kati kumuua Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh katika ardhi ya Iran. Kwa hasira Kali Kamenei ametoa kauli ya kuishambulia Israel kijeshi.
Kwa taarifa za kijesus za Israel chini ya taasisi yake ya MOSAD zinaeleza kuwa Kiongozi huyo wa kidini nchini Iran analengwa sana na MOSAD.
Kumbuka Israel anaituhumu Iran kuifadhili Hamas na Hezibolah Ili kuishambulia Israel Kwa kutumia ndege zisizo na marubani.
Israel amekuwa akifanya mauaji ya kisiasa Kwa viongozi mbalimbali hasa wa Hamas na imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Hezbollah aliyewasumbua sana Israel aliyejulikana kama Mohamed Deif.
Je, Israel atafanikiwa kutimiza lengo lake? Acha tuone.