chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 17,638
- 28,869
Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya.
Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti wa CCM.
Kwa msingi huo, natangaza rasmi mazishi y shughuli za kisiasa za Gambo mkoani Arusha, hasa Ubunge. Mazishi yatafanyika alasiri baada ya Bunge kuvunjwa. Innalilah Wainalilah Rajoon