Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 2,531
- 8,492
Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru
Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo.
Robotic megaport that operates itself
Chancay port itapunguza angalau siku 10 kutoka kwa safari ambayo hapo awali ilikuwa ya siku 35 kutoka China mpaka Peru (Latin America) na kupunguza logistic cost kwa 20% route hii mpya imepewa jina la "China Latin America Freight Route."
Meli hazitahitaji tena kusimama kwenye bandari ya Long Beach California, Marekani na kisha ziende Latin America .
"China Latin America Freight Route."
Katika kufungua hii bandari ina maana
- Marekani will lose a lot of business na mataifa ya Latin America
- Na pia China itazidi kuongeza ushawishi barani humo pamoja na kujipatia natural resources.
Ndiyo maana Marekani ilifanya juu chini kuzuia mradi huu lakini ikafeli.
Marekani baada ya kuona hilo kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje, Antony Blinken nao wakaahidi kuipa Peru treni la diesel la miaka ya 1980s
View: https://twitter.com/SecBlinken/status/1857974121004450227?t=pp49UG4N5WjK5G1NIJjaaQ&s=19
Ushawishi upande wa biashara kati ya China na Marekani barani Latin America
Marekani baada ya kuona hilo kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje, Antony Blinken nao wakaahidi kuipa Peru treni la diesel la miaka ya 1980s
View: https://twitter.com/SecBlinken/status/1857974121004450227?t=pp49UG4N5WjK5G1NIJjaaQ&s=19
Ushawishi upande wa biashara kati ya China na Marekani barani Latin America
- Kufikia mwaka 2000 Marekani ilikuwa trade partner mkubwa wa Latin America yote. Finally the tables have turned, ripoti ya IMF ya imeonyesha China ni trade partner mkubwa wa nchi zote za Latin America ukitoa Mexico ambayo nayo imejaa uwekezaji wa makampuni ya China yanayouza bidhaa Marekani.
- China imewekeza zaidi ya $100 bln kwenye infrastructure under BRI projects LatAm
- Ford walifungua kiwanda Brazil kimefirisika, BYD wamekirekebisha na kufunga mitambo mipya, mwezi Desemba mwaka huu wanaanza production ya EV
Kwa sasa kila kiongozi wa Latin America hata raisi wa Argentina anti-communist, Mr Milei looks to China to build a better future.
Siku hizi Walatino wanakwambia
"Wanna build a world-class automated seaport with 5G, AI, autonomous vehicles, and robots? Call China. Wanna have EV factories? Call China."
Baada ya Walatino kuteseka sana under the USA’s Monroe Doctrine kwa miaka mingi na mapinduzi ya kijeshi yaliyokuwa yakifadhiliwa na serikali ya Marekani kupitia CIA na NED katika bara hilo now Latin America is finally breaking free.
China is delivering true freedom and development. As a partner, who respects sovereignty.
The dragon is rising, and the eagle is floundering. U.S bombs China builds.