Baada ya Chanjo ya COVID-19 sasa Monkey pox

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,696
2,279
Baada ya chanjo ya COVID-19 kutolewa nchini kwa mafanikio makubwa ambapo vifo vilipungua kufikia zero baada ya Serikali kuingiza nchini na kuhamasisha matumizi yake kuna janga lingine kwa majirani wetu hasa DRC.

Changamoto ya ugonjwa wa monkey pox tayari imeshapatiwa chanjo na hivyo muda si mrefu zitaanza kusambazwa Afrika.

Unafikiri upo tayari kupokea chanjo ya monkey pox kujikinga na ugonjwa huo hatari?
 
Hoja aina nguvu , imefanikiwa Kwa kiwango kikubwa ndo anavyoripoti hivyo . Tz wanakadiliwa watu million 60+ wamepata wangapi?
 
Back
Top Bottom