Waache ujinga.
kama hakuna sheria huko bungeni kudhibiti walevi wasitake kuonea watu kwenye biashara zao.
Kwani mwenye bar analazimisha wabunge kwenda kunywa au wanaenda kwa hiari yao?
Na pia siyo lazima mtu anywe karibu na bunge..anaweza kunywa kilevi chake popote hata akiwa bungeni..anatia tu kwenye chupa ya maji kama ni wisky ya rangi ya maji na mtu hawezi jua.
Waache uonevu