Aziz Ki aanza mchakato wa kuomba uraia

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,915
51,654
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa

Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
 
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurui kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa

Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Vipi uko ukoloni Mutale na mukwala awajaanza mchakato wa kuomba uraia🤣🤣
 
Huku ukoloni hatuwalishi hayo malimbwata ya wafia nch
Djuma Shabani alikuwa anawalisha sumu wacongomani wenzie pale uto ,siku anatemwa akawaza waasi wa M23 alilia kama mtoto mdogo akakimbilia Namungo nako wakamtosa akalia tena kama kafiwai
 
Bongo wakarimu sana kwa wageni sio rahisi mgeni kufanyiwa fujo ,nenda congo au south ukiwa mgeni basi ni kosa kubwa .

Morisson mwenyewe anaipenda Tz imempa heshima kubwa sana.
Bongo raha
 
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa

Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Uongo. Wivu tu
 
Ki ni mbegu mbaya, asipewe uraia
 
Back
Top Bottom