Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,042
- 8,679
Duru Zinasema Alipewa ofa ya deal nono, ila kaipiga chini kanogewa na hype anayopewa bongo, yawezekana msimu uliopita ndo ukawa ni msimu wake bora kwenye maisha yake ya soka na akajutia kuiacha hii ofa yenye mshahara mnono na sign fee kubwa
Stephane Aziz Ki ambaye hadi muda huu status yake inasoma ni mchezaji huru, mezani kwake ana ofa kutoka CR Belouizdad ya Algeria
Mshahara Milioni 97 za Kitanzania, ataingiziwa miezi mitatu kwa mkupuo mmoja sawa na Milioni 291
Free Apartment
Atapata Usafiri / Gari
Tiketi mbili za ndege
Wakati mnasuburi kauli ya Stephane Aziz Ki leo saa 8 mchana kuhusu hatma yake ya kusalia au kuwaaga Yanga hii ni moja ya ofa ambazo anazo mezani