Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,230
- 7,402
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025
Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya! Pamoja na michuano ya vilabu barani Afrika.
AzamTv wajitahidi warushe walau Europa League sasa maana Uefa Champions League pamoja na EPL ni ngumu kwao kwasasa!!