The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,581
- 7,197
Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu.
Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya tamthilia mbaya kabisa wametumia waigizaji wazoefu ila story haieleweki yaani kifupi imepooza sana nilizoea zamani kuangalia tamthilia za JB ni tamthilia zinazofundisha ila hii sijui hata inafundisha nini!!
Yule Binti mule nadhani niliwahi kumuona clouds media kama sio kwa Millard ayo kama mtangazaji nimeshangaa sana kumuona eti na yeye anaigiza halafu mbaya ni kama hajui anachoigiza kifupi ni bored tamthilia