Azam TV: Nataka kufungua kesi kwa kunilaghai kulipia kifurushi kisichoonesha

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
248
91
#TANGAZO.

Kesho Jumatano natarajia kufungua kesi dhidi ya Azamtv TZ kwa kunilaghai nikalipia kifurushi halafu wasifanye walichokiahidi(kuonesha michuano mizima ya Euro).Itakuwa kama jamaa aliyeishtaki fastjet nami nitaenda kuomba nilipwe fidia.
 
#TANGAZO.

kesho jumatano natarajia kufungua kesi dhidi ya azamtvtz kwa kunilaghai nikalipia kifurushi halafu wasifanye walichokiahidi(kuonesha michuano mizima ya euro).

itakuwa kama jamaa aliyeishtaki fastjet nami ntaenda kuomba nilipwe fidia
Kila la heri ndg
 
Wenzenu tulivipiga chini pale walipopandisha vifurushi vyao tukarudi startime kumbe bado mpo mliokomaa na sasa mnasaga meno. Poleni.
 
Kusanya ushahidi kulishitaki kampuni kubwa kama azam media ni kuli halibia cv bora uwaache tu watajirekebisha
 
#TANGAZO.

Kesho Jumatano natarajia kufungua kesi dhidi ya Azamtv TZ kwa kunilaghai nikalipia kifurushi halafu wasifanye walichokiahidi(kuonesha michuano mizima ya Euro).Itakuwa kama jamaa aliyeishtaki fastjet nami nitaenda kuomba nilipwe fidia.
hahahahaaa ving'amzi vya bongo bana!! shida tupuuuuuu
 
#TANGAZO.

Kesho Jumatano natarajia kufungua kesi dhidi ya Azamtv TZ kwa kunilaghai nikalipia kifurushi halafu wasifanye walichokiahidi(kuonesha michuano mizima ya Euro).Itakuwa kama jamaa aliyeishtaki fastjet nami nitaenda kuomba nilipwe fidia.
KUWA MAKIN AZAM NI KAMPUN KUBWA WATAWAHONGA MAJAJI NA WW UTAPIGWA NDANI. KESI ITAKUGEUKIA CHEZEA BONGO!
 
Hawa Azam jamaa yangu kaacha sherehe jumapili mbio eti anawahi saa nne usiku aangalie Wajerumani na alichoambulia na kaswida. Ngoja nimtaarifu ili muungane katika kesi hiyo maana alikuwa na hasira za kupitiliza.
 
nunua DSTV BOMBA DISH NA DECODER kwa 75000 tu na kifurushi cha mpira ligi zote kwa 23500 kwa mwezi tu
 
Duuuh huo ni wizi. Sema kwa hapa bongo watapeta tu ila seriously NI WIZI.

Hata kama hutowashitaki ila kama wanasoma uzi huu wajue hicho walichofanya ni UHUNI wa hali ya juu.

Ila kama upo vizuri mkuu wewe washtaki hata mimi niliudhika sana juzi. wana bahati jana wameonesha.

HEKO KWA STARTIMES ingawa mechi siangalii za saa tisa na hata ile ya saa kumi na moja alfajiri naangalia nusu lakini wametimiza ahadi yao. tena kama hivi nikirudi home saa mbili ya jioni nitaangalia marudio.
 
Hii ndio kazi ya TCRA sio kuhangaika na simu feki.
 
hahahaaaaa kumbe hawaoneshi???? mbona walijinasibu kuonesha live kupitia ZBC
Na mimi nililipia kifurushi ili nione EURO 2016, sasa nikakuta hakuna kitu,nimehuzunika sana kwa wizi huu wa kimacho macho. Wanasheria ningependa kujua mtatusaidia vipi hapa sisi walaji wa AZAM TV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…