kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,506
- 13,988
Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari.
Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini ligi na mahaba Yao kwa timu Yao ya Azam FC, Simba na Yanga. Hawana miiko inayotenganisha kati ya udhamini n mahaba (conflict of interest). Watendaji sio mature enough kwenye kazi hii ya udhamini (integrity). Wanaweza kutumia uandishi na udhamini wao kuibomoa timu wasiyoipenda au yenye ushindani na timu Yao ya Azam au timu nyingine wanayoishabikia. Mifano ni mingi sana ya kuthibitisha hili.
Lazima Dstv na Star Times waangalie namna ya kuingia kwenye kuomba kandarasi hii au TFF itoe miongozo kwa Azam media.