M Mpira wa kona JF-Expert Member Nov 25, 2016 350 338 Jan 13, 2017 #1 Hatimaye klabu ya Azam ya Tanzania imethibitisha Ubabe wake baada ya kuzitandika timu kubwa za Tanzania.Azam iliibamiza kipigo cha mbwa koko Wakimataifa YANGA bao 4-0 Na Wekundu wa msimbazi Simba bao 1-0.Heko Azam
Hatimaye klabu ya Azam ya Tanzania imethibitisha Ubabe wake baada ya kuzitandika timu kubwa za Tanzania.Azam iliibamiza kipigo cha mbwa koko Wakimataifa YANGA bao 4-0 Na Wekundu wa msimbazi Simba bao 1-0.Heko Azam
Titicomb JF-Expert Member Jan 27, 2012 12,273 20,233 Jan 13, 2017 #2 Leo kidogo kutakuwa na utulivu ktk vikundi vya whatsap na mitandaoni. Angeshinda Simba au Yanga kungekuwa na maneno ya shombo balaa.
Leo kidogo kutakuwa na utulivu ktk vikundi vya whatsap na mitandaoni. Angeshinda Simba au Yanga kungekuwa na maneno ya shombo balaa.
Titicomb JF-Expert Member Jan 27, 2012 12,273 20,233 Jan 13, 2017 #3 Kocha wa sasa wa Azam anakitu fulani anataka kukifanya. Je ni ubora wake au aliachiwa timu iliyoandaliwa tayari kwa ushindi yeye kaja kumalizia tu?
Kocha wa sasa wa Azam anakitu fulani anataka kukifanya. Je ni ubora wake au aliachiwa timu iliyoandaliwa tayari kwa ushindi yeye kaja kumalizia tu?
Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,925 95,582 Jan 13, 2017 #4 Hiyo heading yako nimeipenda mno!
SPECIAL TMN JF-Expert Member Jan 3, 2014 1,111 807 Jan 13, 2017 #5 Hata mpira wa leo ni tofauti sana na wa yanga kumbe alistahili kupigwa nne kwa mpira wa leo nilivyouona.
Hata mpira wa leo ni tofauti sana na wa yanga kumbe alistahili kupigwa nne kwa mpira wa leo nilivyouona.
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,051 6,387 Jan 14, 2017 #7 Jamaa kaamua kupiga mbizi from zenji hadi dar