Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,111
- 3,756
kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc.
which made Feisal shine.
Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri mkubwa ana njaa ya 300k usd kweli? Ukilinganisha na mafanikio ya team.
Au ndo hate yanga au simba wasimsajiri next season?.
Comedy was Feisal Salum toto is worth 2 million USD na Kipre Jr is worth 300k USD?
Utani huu. 😂😂