Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 788
- 1,787
Wakuu,
Kwanza poleni na majukumu yenu ya kila siku, nipo nasikiliza hapa michezo hapa EA radio, kupitia kipindi Cha michezo kinachoanza kuanzia saa moja usiku huu.
Katikati ya kipindi Kuna mjadala UKAZUKA ( kujitokeza ) na kuleta ubishani mkubwa bila kuwa na makubaliano, eti Kati ya Yusuf dabo ( msenegali) na Bruno fery Nani kocha mkuu wa Azam fc??
Binafsi, nilishawahi kuwaza hii kitu, hasa kwenye mechi za azam....hususani Ni kwa sisi tunao angalia kupitia azamTv, pale mechi inapoanza azamTv wakichapisha jina kwa Azam jina la kocha mkuu siku zote Ni Bruno fery (kwa wanao fuatilia mpira Hili wanalijua)
Pia kwa mujibu wa wachambuzi hao wa EA radio baada ya kuwa na mkanganyiko baina Yao, wapo wanao sema Yusuf Dabo ndio kocha mkuu kwa mujibu wa Azam Fc Kama club husika
Kwa upande wa Bruno fery yeye ndio anajulikana na TFF Kama kocha mkuu ( na ndio maana azamTv wanamtambua, kwa ufikiri wa kawaida )
Wakuu, Sasa hapa ni Nani kocha MKUU wa Azam???....Kwanini TFF wanamtambua Bruno??? na azamfc wenyewe wanamtambua Yusuf dabo???
Hii inafikirisha Sana, labda sijui kitu nipo hapa kujifunza, karibuni!!!!
Nawasilisha!!