Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,371
- 2,379
Katika hii sintofahamu inayoendelea ya serikali na TBC kusitisha live broadcast ya vipindi vya bunge inaweza kuwa na advantages kwa kituo kipya cha Azam
Kwa Azam kuonyesha live coverage ya mkutano wa bunge automatical wanagain viewers wengi zaidi jambo linalotafutwa na TV Stations zote duniani
Hii pia itasaidia kuongeza mauzo ya ving'amuzi vyao nchi nzima na automatically kuuza subscriptions zaidi
Kwa mtazamo wangu sio watu wote wenye Television majumbani hivyo hizo za maofisini na sehemu za burudani
Hebu tujiulize mambo muhimu yafuatayo
Je ofisi za umma zimekuwa ni viwanda ambavyo wazalishaji watakosa concentration ya kusikiliza bunge?
Coverage ya masaa sita kasoro utaibana vipi iwe kwa saa moja?
Editing itafanyika kwa mtazamo wa mtayarishaji wa kipindi hivyo anayoweza kuyaacha kwa kudhani sio muhimu kumbe kwa wengine ni muhimu
Je gharama za kutuma Wapiga picha, watangazaji na madereva huko Dodoma hazikujumuishwa kwenye ile figure ta 4.2 b? Kama ni ndio what is the actual cost for Iive broadcast?
TBC huwa hewani muda wote ikitumia umeme mwingi kuendesha transmitters na mafundi waendeshaji kurusha vikaragosi na miziki tu vitu ambavyo umuhimu wake na taarifa ya Bunge hauwiani
Tukumbuke bunge sio taarifa ya habari ya kuiandaa bali ni tukio (Event) hivyo yahitaji live coverage
Hoja ya kuiga tamaduni za nchi nyingine haina mashiko kwa kuwa tayari tumeshajiwekea utamaduni(mazoea) hayo kwa miaka 10 sasa hivyo kurejesha utamaduni wa ten years back ni ujima kabisa kwenye dunia hii ya maendeleo ya teknolojia ya upashanaji habari
Hivi ni nani anapenda kuangalia marudio ya mechi ambayo matokeo ameshayapata?