Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,626
- 40,529
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana.
Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa watayarishaji wa vipindi vya Elimu kwa Umma iliyowasilishwa na Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo aliyesema JamiiForums sio chombo cha Habari bali ni Jukwaa la mtandao.
“Jamii Forum tusipepese macho ni chombo cha Habari kama vyombo vingine na sio Jukwaa tu kama tunavyoambiwa, kitu cha kuwashauri watafute wahariri wazuri wa kuhariri habari zao.” amesema Dkt. Rioba.
==
Pia soma:
Mkuu wa Programu JamiiForums: Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani, tuuthamini