Mnyalu wa Kweli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 233
- 55
kumbe watu humu id zenu ndio matendo yenu heee,haya badili id jiite MLIPAKODIMimi nilikuwa napata faida kubwa kwa kukwepa kodi, sasa mianya yote imezibwa napata faida kidogo au hakuna faida kabisa
Duh!pole Sana Mkwepa Kodi!Mimi nilikuwa napata faida kubwa kwa kukwepa kodi, sasa mianya yote imezibwa napata faida kidogo au hakuna faida kabisa
lakini katika maelezo yako ya awali ni kama umesema utawala wa Mkapa haukuleta mabadiliko ya kuboresha huduma za jamii,na hapa unatolea mfano wa utawala ambao kwa mujibu wa hukumu yako hapo juu ni kama utawala usio wa mfano na unaona utawala wa sasa unatembea humohumo!!!Unasemaje katika hilo mkuu???Kwa kumbukumbu niliyonayo wakati Mkapa anaingia Ikulu mwaka 1995 alipunguza mzunguko was pesa hadi tukaja na neno Ukapa lakini baadaye hali ilitengemaa.Nadhani hats kwa JPM hali baadaye kidogo inaweza tengemaa.Hebu tusubiri budget yake ya kwanza tuone.
Hizi nazo ni ndoto tu, kwa kipi alichokifanya haswa toka aingie madarakani?Ukiangalia tawala zilizopita ktk nchi hii,ukiacha ule wa Mwl Nyerere, uongozi huu wa JPM tukiupa support unaweza kuibadilisha nchi yetu kwa maana ya kuboreka kwa huduma mbalimbali za jamii,nchi kupiga hatua kubwa kimaendeleo na hata uchumi wa mtu mmojamoja kuimarika.
Kagame naye kashakiri kuwa kuna mambo anajifunza toka kwa JPM.Nadhani hii inaweza ni Golden Chance kwetu kama watanzania.
Ni mtazamo tu!Argue please,don't shout!
Ndugu MC,hujanipata vizuri ktk hoja yangu.Sisemi Mkapa,Mwinyi au Kikwete hawakufanya kitu.Hoja Yangu ni kuwa ukiwalinganisha hao watawala waliopita na huyu wa sasa,unapata hisia kuwa Kama ataendelea hivi na sisi wananchi tukampa support nchi hii itabadilika kwa kiwango kikubwa.He is reformist!lakini katika maelezo yako ya awali ni kama umesema utawala wa Mkapa haukuleta mabadiliko ya kuboresha huduma za jamii,na hapa unatolea mfano wa utawala ambao kwa mujibu wa hukumu yako hapo juu ni kama utawala usio wa mfano na unaona utawala wa sasa unatembea humohumo!!!Unasemaje katika hilo mkuu???
pole mkuu, subiri kwa muda maeneo yote yakiwa sawa utapata faida, mfumo wa uchezaji iliharibika,Mimi nilikuwa napata faida kubwa kwa kukwepa kodi, sasa mianya yote imezibwa napata faida kidogo au hakuna faida kabisa
So,you don't see or feel anything!Kaazi kwelikweli!Hizi nazo ni ndoto tu, kwa kipi alichokifanya haswa toka aingie madarakani?
SIJAONA CHOCHOTESo,you don't see or feel anything!Kaazi kwelikweli!
Ukiangalia tawala zilizopita ktk nchi hii,ukiacha ule wa Mwl Nyerere, uongozi huu wa JPM tukiupa support unaweza kuibadilisha nchi yetu kwa maana ya kuboreka kwa huduma mbalimbali za jamii,nchi kupiga hatua kubwa kimaendeleo na hata uchumi wa mtu mmojamoja kuimarika.
Kagame naye kashakiri kuwa kuna mambo anajifunza toka kwa JPM.Nadhani hii inaweza ni Golden Chance kwetu kama watanzania.
Ni mtazamo tu!Argue please,don't shout!
Ndugu MC,hujanipata vizuri ktk hoja yangu.Sisemi Mkapa,Mwinyi au Kikwete hawakufanya kitu.Hoja Yangu ni kuwa ukiwalinganisha hao watawala waliopita na huyu wa sasa,unapata hisia kuwa Kama ataendelea hivi na sisi wananchi tukampa support nchi hii itabadilika kwa kiwango kikubwa.He is reformist!
Kabisa kabisa nakuunga mkono!Reformist lakini anaetembea kama wengine???anyway,kifupi eneo hili la maisha ya mtu mmoja mmoja kuwa bora ni mtego uliowashinda viongozi wengi hususani barani Afrika,kwa maoni yangu nadhani Mkapa alifanya vema sana ktk utawala wake,tatizo aliishia ktk kuipa nguvu kiuchumi serikali,mwananchi akawa dhaifu kiuchumi na hakufaidika sana na nguvu ya kiuchumi ya serikali kwa maana ya uboreshaji wa huduma za jamii na miundombinu kwa kiasi cha kumridhisha mwananchi.
So harakati zote za utawala huu mwisho wa siku Mwananchi lazima aone matokeo chanya katika maisha yake yeye kama yeye!Tuko pamoja mkuu