Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Siyo kidogo hatari sanaHataree!cha ajabu wengi WA watu 2020 haswa ngome Za ccm hawatakumbuka kuulizia utekelezaji WA ahadi walizopewa na Ccm. Elimu elimu elimu
Ndo maana hawataki ijadiliwe...maana haina uhalisia na imejaa figisu figisu ....
Na; Solomon Michael Kambarangwe
20/06/2016
Watanzania tumeingia awamu ya mpya iliyojaa ahadi lukuki zilizowaaminisha Wananchi kuwa CCM itatekereza iliyoahidi na yaliyodhairiwa kufanywa na vyama vya UKAWA.
Uchaguzi ukachakachuliwa tume ikamtangaza mgombea walioamua kumtangaza kuwa achukue urais. UKAWA hatukukubali matokeo.
CCM kwa kauli mbiu ya Hapa Kazi tu wakaanza kutumia nguvu badala ya akili.
Ziara zilizopewa jina la kushitukiza na mbwembwe kupitia vyombo vya habari na wananchi wakajawa na upepo kuwa sasa ni hapa kazi tu.
Hoja yangu ni kuwa tafsiri ya hapa kazi tu haionekani kabisa. Unapokuwa kiongozi mkuu ukaishia kutishia subordinates wako, kutishia watu, kulazimisha mambo yaende bila mfumo imara wa sheria, sera, kanuni na taratibu rafiki katika miongozo ya uendeshaji wa mamlaka za umma niutapeli wa kisiasa maana huwezi kufanya lolote la maana.
Sasa rais Magufuli analazimisha kufanya mambo kwa utaratibu wa zima moto, akiwa na husuda dhidi ya UKAWA na kuwafanya maadui zake.
Rais Magufuli ameunda serikali na kuwaagiza wateule wake wafanye anayoyataka yeye ambayo mengi ni kinyume cha sheria hasa katika suala zima la madaraka, demokrasia na utawala bora.....hizi ni siasa za kitapeli.
Ukiona bajeti ya serikali imejaa nadharia nyingi. Inayotia kichefuchefu ni ile ya pesa.....imejaa siasa na maneno ya kushawoshi huruma badala ya kuanisha namna ya kujenga uchumi imara.
Serikali iliahidi kutoa elimu bure hadi kidato cha nne ila imeshindwa kugharimia madawati.....sasa tutegemee
*madarasa yatakuwaje?
*nyumba za walimu?
*Maji mashuleni?
*vyoo mashuleni?
*ofisi za walimu?
*samani za ofisi za walimu?
*Mishahara ya walimu?
*Huduma za afya na lishe mashuleni?
Swali ni je wananchi tumeshiriki kuchangia madawati.....tutachangia hayo yote pia?
Huwezi kuboresha elimu kwa kuongeza madawati tu. Jambo kubwa kuliko yote ni mishahara ya walimu, na mazingira yao ya kufanyia kazi.
Ukiiona bajeti ya wizara ya elimu ni ndogo mno kulinganisha na mahitaji halisi ya kuboresha elimu nchini. yaani haina uwezo hata wa kukidhi 30% ya mahitaji ya elimu.
Sasa unaposema unatatekereza dhana ya hapa kazi tu.....kwa utaratibu gani kama sio utapeli wa kisiasa?
Ukienda katika wizara ya afya huko ni majanga tu.. kumejaa matumaini tu na kuhamasisha kujifunga mkanda.
*Wazee, watoto na akina mama wajawazito waliahidiwa kutibiwa bure ila imeishia kwenye majukwaa ya kampeini....siasa za kitapeli.
Mahospitali, zahanati na vituo vya afya tusitegemee jipya kwa mujibu wa bajeti hii. pesa ni ndogo na mbaya zaidi fedha ya Tanzania imeshuka sana thamani.....
Kilimo ndicho binafsi naona kinakwisha kabisa. naona giza tu sekta ambayo ingekwamua uchumi wa wananchi wengi.
Serikali imegawanya fedha kwa utaratibu ambao haunipi matumaini kabisa maana serikali inatumia fedha nyingi kuliko kuziweka katika mafumizi ya maendeleo ya umma.
Nitarudi baadae kumalizia kuandika mada yangu
Hawataki na Bunge LiveNdo maana hawataki ijadiliwe...maana haina uhalisia na imejaa figisu figisu ...
serikali ovu cku zote inapenda kufanya mambo yake gizaniHawataki na Bunge Live
Makala ya hovyo kabisa kuwahi kutokea. Ime base kulaumu bila suruhisho. Endeleeni na siasa kwa kivuli cha mafahali mpaka mwisho wa dunia.
Na; Solomon Michael Kambarangwe
20/06/2016
Watanzania tumeingia awamu ya mpya iliyojaa ahadi lukuki zilizowaaminisha Wananchi kuwa CCM itatekereza iliyoahidi na yaliyodhairiwa kufanywa na vyama vya UKAWA.
Uchaguzi ukachakachuliwa tume ikamtangaza mgombea walioamua kumtangaza kuwa achukue urais. UKAWA hatukukubali matokeo.
CCM kwa kauli mbiu ya Hapa Kazi tu wakaanza kutumia nguvu badala ya akili.
Ziara zilizopewa jina la kushitukiza na mbwembwe kupitia vyombo vya habari na wananchi wakajawa na upepo kuwa sasa ni hapa kazi tu.
Hoja yangu ni kuwa tafsiri ya hapa kazi tu haionekani kabisa. Unapokuwa kiongozi mkuu ukaishia kutishia subordinates wako, kutishia watu, kulazimisha mambo yaende bila mfumo imara wa sheria, sera, kanuni na taratibu rafiki katika miongozo ya uendeshaji wa mamlaka za umma niutapeli wa kisiasa maana huwezi kufanya lolote la maana.
Sasa rais Magufuli analazimisha kufanya mambo kwa utaratibu wa zima moto, akiwa na husuda dhidi ya UKAWA na kuwafanya maadui zake.
Rais Magufuli ameunda serikali na kuwaagiza wateule wake wafanye anayoyataka yeye ambayo mengi ni kinyume cha sheria hasa katika suala zima la madaraka, demokrasia na utawala bora.....hizi ni siasa za kitapeli.
Ukiona bajeti ya serikali imejaa nadharia nyingi. Inayotia kichefuchefu ni ile ya pesa.....imejaa siasa na maneno ya kushawoshi huruma badala ya kuanisha namna ya kujenga uchumi imara.
Serikali iliahidi kutoa elimu bure hadi kidato cha nne ila imeshindwa kugharimia madawati.....sasa tutegemee
*madarasa yatakuwaje?
*nyumba za walimu?
*Maji mashuleni?
*vyoo mashuleni?
*ofisi za walimu?
*samani za ofisi za walimu?
*Mishahara ya walimu?
*Huduma za afya na lishe mashuleni?
Swali ni je wananchi tumeshiriki kuchangia madawati.....tutachangia hayo yote pia?
Huwezi kuboresha elimu kwa kuongeza madawati tu. Jambo kubwa kuliko yote ni mishahara ya walimu, na mazingira yao ya kufanyia kazi.
Ukiiona bajeti ya wizara ya elimu ni ndogo mno kulinganisha na mahitaji halisi ya kuboresha elimu nchini. yaani haina uwezo hata wa kukidhi 30% ya mahitaji ya elimu.
Sasa unaposema unatatekereza dhana ya hapa kazi tu.....kwa utaratibu gani kama sio utapeli wa kisiasa?
Ukienda katika wizara ya afya huko ni majanga tu.. kumejaa matumaini tu na kuhamasisha kujifunga mkanda.
*Wazee, watoto na akina mama wajawazito waliahidiwa kutibiwa bure ila imeishia kwenye majukwaa ya kampeini....siasa za kitapeli.
Mahospitali, zahanati na vituo vya afya tusitegemee jipya kwa mujibu wa bajeti hii. pesa ni ndogo na mbaya zaidi fedha ya Tanzania imeshuka sana thamani.....
Kilimo ndicho binafsi naona kinakwisha kabisa. naona giza tu sekta ambayo ingekwamua uchumi wa wananchi wengi.
Serikali imegawanya fedha kwa utaratibu ambao haunipi matumaini kabisa maana serikali inatumia fedha nyingi kuliko kuziweka katika mafumizi ya maendeleo ya umma.
Nitarudi baadae kumalizia kuandika mada yangu
Ni suluhisho lipi unataka liandikwe? hapa kinachozungumziwa ni juu ya ahadi ya elimu Bure huku kiuhalisia Serikali imeshindwa kutekeleza hizo na ndio maana hata madawati yamechangwa na wananchi, na mwandishi ameuliza vipi kuhusu hivyo vitu alivyoviorodhesha je ni wananchi watachangia tena au? na amezungumzia wazi kuwa bajeti hewa iliyotengwa haiwezi kutatua masuala ya elimu hata kwa 30%. ni wazi wewe ndio umeingia kichwakichwa na kujikita zaidi kwenye ushabiki bila kuelewa hoja ya msingi juu ya andiko hili.Makala ya hovyo kabisa kuwahi kutokea. Ime base kulaumu bila suruhisho. Endeleeni na siasa kwa kivuli cha mafahali mpaka mwisho wa dunia
Kazi zenyewe ziko wapi? Ujenzi ume simama, mahoteli yanafungwa, bandari nyeupe, mauzo kwenye biashara hakuna, utafanya kazi gani?Rais ndo kwanza hata mwaka bado lawama kibao fanya kazi acha lawama tuijenge nchi yetu
Mkuu huyo msemaji ukweli hawezi sogeleaga thread zangu zinakuwaga na moto kwakewapiga makofi kina MsemajiUkweli kuja hapa piga makofiiii....kwakwakwakwa
Wazee wa kusigina katiba sisi hatujambiWazee wa mahafali bwana, nawasalimia tu
Hawa jamaa wamekosa pa kushika..yaani ni kama ule msemo wa siku akifa nyani miti yote huteleza sasa kazi kubwa waliobaki nayo ni kupiga lamli.Rais ndo kwanza hata mwaka bado lawama kibao fanya kazi acha lawama tuijenge nchi yetu
Serikali hii itakuwepo madarakani kwa miaka mitano. Vipi una blame Serikali yenye miezi saba madarakani? Wewe ndo shabikiNi suluhisho lipi unataka liandikwe? hapa kinachozungumziwa ni juu ya ahadi ya elimu Bure huku kiuhalisia Serikali imeshindwa kutekeleza hizo na ndio maana hata madawati yamechangwa na wananchi, na mwandishi ameuliza vipi kuhusu hivyo vitu alivyoviorodhesha je ni wananchi watachangia tena au? na amezungumzia wazi kuwa bajeti hewa iliyotengwa haiwezi kutatua masuala ya elimu hata kwa 30%. ni wazi wewe ndio umeingia kichwakichwa na kujikita zaidi kwenye ushabiki bila kuelewa hoja ya msingi juu ya andiko hili.
Acha kusikiliza maneno ya wasioitakia mema Tanzania toka fanya kaziKazi zenyewe ziko wapi? Ujenzi ume simama, mahoteli yanafungwa, bandari nyeupe, mauzo kwenye biashara hakuna, utafanya kazi gani?