Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Obamaeli Rutajecha

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
230
274
Wakuu,

Kama inavyojieleza hapo juu, nimefanya uchunguzi na kupekua kweli kila mwanamuziki wa kike ukanda wa Afrika mashariki na kubaini uwepo wa mwanadada kutoka Kenya mwenye mvuto wa aina yake kiasi cha kuwafunika waimbaji wenzake wote wa nchi za Afrika Mashariki.

Mwanadada huyo aliyejaliwa kila anachopaswa kuwa nacho mtoto wa kike sio mwingine bali ni Judith nyambura A.K.A Avril, huyu mwanadada hana mpinzani kabisa kwa ukanda aliopo.

NOTE: Haya sio maono yangu, huu ndio ukweli mnaotakiwa muukubadi wote iwe kwa lazima au kwa kuamua na kama utanipinga basi uje na huyo unayeamini anamfikia Avril hata kwa kulazimisha!


Nitaweka na picha pia.



 
Kwa huo upaa Mmmh wakati wa ku do inabidi umfunike kichwa usimuone upaa unaweza hisi dume
 
huyu dada ana msambwanda ,ndio uzuri alio nao wa hatari...
maana body yake lazima ugeuke ,nilimuona sana coce studio nia shida.

sura kama lily genie wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…