Export Agent wa Pararachichi (Avocado) eneo la Mbeya.
Naomba kuungana na mtu / watu walio eneo la Mbeya ili kununua parachichi ya export. Iwapo unaweza, naomba ujibu maswali haya matatu.
1.Ni variety(aina) gani za parachichi hupatikana Mbeya?
2.Kiasi cha uzalishanji kwa msimu/mwaka
3. Maboxi ya kupakia ya export yanapatikana wapi.
- Uwe na namba ya whatsapp
Ahsante