Autoguru garage ni kampuni inayoshughulika na utengenezaji wa magari kuanzia,
kunyosha magari na kupiga rangi
service za magari
diagnosis
engine overhaul
kubadilisha vioo
Alarm systems
Fleet management
tracking system
A/C- cooling system
Tunapatikana Kinondoni Manyanya opposite na ofisi za BAKWATA mtaa wa Brazil
Tuwasiliane kwa namba 0688767668/0715967107 email info@autogurugarage.co.tz
au tembelea website yetu www.autogurugarage.co.tz