EL ELYON JF-Expert Member Jan 2, 2013 1,565 1,911 Jun 1, 2016 #1 WAKUU HUYU JAMAA SJAWAHI ONA MWINGINE AFRICA NA HUKO KWA WENZETU LABDA GAUCHO,JAMAA ALIKUWA ANAPGA VYENGA,MAKANZU YA KUCHUKULIA MPIRA MGONGONI, MNAMZUNGUMZIAJE HUYU KIUNGO MSHAMBULIAJI TOKA NIGERIA.
WAKUU HUYU JAMAA SJAWAHI ONA MWINGINE AFRICA NA HUKO KWA WENZETU LABDA GAUCHO,JAMAA ALIKUWA ANAPGA VYENGA,MAKANZU YA KUCHUKULIA MPIRA MGONGONI, MNAMZUNGUMZIAJE HUYU KIUNGO MSHAMBULIAJI TOKA NIGERIA.
Bufa JF-Expert Member Mar 31, 2012 12,019 24,790 Jun 1, 2016 #2 He was so good they had to name him twice, hence Jay Jay Okocha Ubaya hakucheza timu kubwa wala kushinda mataji ya maana enzi zake. Kuna kipindi PSG walikua huku wana Okocha kule Gaucho, u can imagine
He was so good they had to name him twice, hence Jay Jay Okocha Ubaya hakucheza timu kubwa wala kushinda mataji ya maana enzi zake. Kuna kipindi PSG walikua huku wana Okocha kule Gaucho, u can imagine