Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Weka wa Harmo rapper role model wa harmonize..hatutaki kusikia uchafu mwingine..tumeamua kwenda na harmo rapper mpaka mwisho
Download wimbo mpya toka kwa Harmonize na Mavoko uitwao Show Me upakue kupitia Wasafi.co.
Unachonifurahishaga we jamaa ni kuwa unawafuatilia kwa karibu sana WCB...we jamaa kweli hujui kupenda.
Toka mwaka huu uanze hakuna wimbo mbaya kama huu niliobahatika kuusikia.
Nyimbo mpya ya Harmonize ilipotelea wapi?WCB wanajua jinsi ya kuwatendea haki watu wao, hii ni moja ya kzi nzur kuwahi kutokea bongo
wimbo mpya wa harmonize ulipotelea wapi?Nyimbo mpya ya Harmonize ilipotelea wapi?