Sioni kwa sasa kama lipumba ana nguvu hizo tena.CUF wanamjua ni mtu wa aina gani japo anajikomba.Kama angekuwa ana nguvu hizo ungeona Maali angemshirikisha kwenye mgogo wa Zanziba ila kwa sasa anajikomba.Yaani yeye mwenyewe habari za mgogoro wa uchaguzi wa zanziba na mazungumzo yanayoendelea na yeye anapata habari kama wewe unavyopata hajui kinachoendelea sasa huyo manake kule cafu ni mtu wa kawaida mno nadhani hawana hata taarifa kuwa aliwahi kuwa mwenyekiti wa chama