Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 732
- 1,470
China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga.
Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno ya kejeli juu ya bidhaa anazotuma Mitandaoni.
Tukio limetokea baada mteja mmoja kutoa malalamiko juu ya bidhaa anazouza huyo muuzaji sio nzuri, kwa mujibu wa Mwenye duka ndipo akaamua kumfuatilia mteja huyo na kumtishia.
Tukio ili limezua utata juu ya umakini wa wafanyabiashara kutopenda kabisa biashara zao zichezewe. Unasemaje kuhusu Tukio ili tuachie maoni yako??