jingalao JF-Expert Member Oct 12, 2011 35,950 29,532 Apr 30, 2017 #1 Bombardier zitakuwa zinatoa huduma ya usafiri Dar-Mtwara. Uzinduzi wa Safari umefanyika leo kwenye uwanja wa Mtwara. Serikali inatarajia kukarabati miundo mbinu ya uwanja kwa kiasi cha bilioni 10. HAPA KAZI TU
Bombardier zitakuwa zinatoa huduma ya usafiri Dar-Mtwara. Uzinduzi wa Safari umefanyika leo kwenye uwanja wa Mtwara. Serikali inatarajia kukarabati miundo mbinu ya uwanja kwa kiasi cha bilioni 10. HAPA KAZI TU
jingalao JF-Expert Member Oct 12, 2011 35,950 29,532 Apr 30, 2017 Thread starter #3 Mwifwa said: Ikianza Dar-Chato unishtue Click to expand... Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda
Mwifwa said: Ikianza Dar-Chato unishtue Click to expand... Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 48,216 125,311 Apr 30, 2017 #4 jingalao said: Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda Click to expand... Ile MV-magogoni pia imelindwa na Mungu?
jingalao said: Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda Click to expand... Ile MV-magogoni pia imelindwa na Mungu?
Hajto JF-Expert Member Sep 30, 2013 5,645 5,596 May 1, 2017 #5 Hawa wamakonde wameshindwa kuzijaza bus za machinga na majinjah,Je ndege wataweza kuzijaza
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,334 May 1, 2017 #6 mazina said: Hawa wamakonde wameshindwa kuzijaza bus za machinga na majinjah,Je ndege wataweza kuzijaza Click to expand... Buti la zungu zinakuja tupu deile!!!
mazina said: Hawa wamakonde wameshindwa kuzijaza bus za machinga na majinjah,Je ndege wataweza kuzijaza Click to expand... Buti la zungu zinakuja tupu deile!!!