ATC Anzisheni haraka route ya Dar to JFK New York USA

Chanzo chake!
Ni Abiria wengi kutoka USA kuja Tanzania na Abiria wengi kutoka Tanzania( Kila siku watanzania wanaombq visa ubalozi wa Marekani, kubwa zaidi ni diaspora huwa wanarudi nyumbani Kwa shughuli tofauti na watalii kutoka USA baada ya kutanganza fursa za kuja kufanya utalii Tanzania
 
Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
Ushindani ni mkubwa mno wa biashara ya anga sidhani kama ATC wanaweza kumudu. Hii tu ya ndani wana badirisha ratiba mara kwa.mara
 
Ni Abiria wengi kutoka USA kuja Tanzania na Abiria wengi kutoka Tanzania( Kila siku watanzania wanaombq visa ubalozi wa Marekani, kubwa zaidi ni diaspora huwa wanarudi nyumbani Kwa shughuli tofauti na watalii kutoka USA baada ya kutanganza fursa za kuja kufanya utalii Tanzania
Kweli wa tz ni wengi sana huko nchi za watu na wengi wamechukua na uraia. Nadhani kama tungekubali urai pacha watu wange invest sana nyumbani na kutengeneza ajira kwa watu wengi hata upatikanaji wa £,€& $ kwa wingi
 
Ushindani ni mkubwa mno wa biashara ya anga sidhani kama ATC wanaweza kumudu. Hii tu ya ndani wana badirisha ratiba mara kwa.mara
Tangazeni uzalendo wa nchi yenu Kwa kutumia ndege za ATC Dunia nzima,
 
Back
Top Bottom