Uchaguzi mgumu kwa CCM? kwa tume ipi?Wale wanaoamini katika falsafa za Mwalimu Nyerere wakumbuke maneno haya
CCM itangushwa na wana CCM wenyewe
No reform no election ni falsafa muhimu sana kwa wakati huu lakini Hawa wanaoihubiri kwa nguvu sana sio wanaoenda kunufaika nayo
Aminini nawambieni yupo huyu mtu mwenye nguvu nyingi na mikakati imara zaidi ya hayat yule wa Monduli
ACT kusaini maadili sio matakwa Yao kama chama Bali ni maandalizi ya kumpokea huyu mwanakondoo aletaye matumaini
Wale wazee wa suti nyeusi baadhi Yao wako nyuma yake kwa Siri sana
Makanisa yote yapo nyuma yake kwa Siri na kwa dhahiri
Hakika nawambieni huu unakwenda kuwa uchaguzi mgumu kwa chama tawala kuliko yote kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu
Zingatia huu sio utabiri ni jambo hilpo kwenye mikakati haswaa
Baada ya December 😂Bila kumtaja huu unabaki kuwa ni ubashiri ama ramli tu.
Unajua ACT wazalendo ni ya nani? 😂Inawezekana , lakini sioni likitokea hivi karibuni, vizazi vijavyo yes !
Membe alishafariki,,,, hii ni project yake, Zitto ni kivuli tuUnajua ACT wazalendo ni ya nani? 😂
Wenje, Lema, Mdee, Bulaya, Sugu wote ni Team Lindi kuchele ni swala la muda tu 😁Membe alishafariki,,,, hii ni project yake, Zitto ni kivuli tu
Lisu ndiyo mtanzania pekee ambaye aliongea na kupaza sauti tukiwa wote tumefyata mkia mbele ya JPM.Wenje, Lema, Mdee, Bulaya, Sugu wote ni Team Lindi kuchele ni swala la muda tu 😁
ACT hii ya Zitto unavichekesho sana G55 wana Ushawishi gani mtaani walibebwa na Chadema tofauti na hapo mfano Covid 19 nje ya Chadema wamenaki hawana Ushawishi wowote wakienda CCM ndo wanakufa kabisa ACT bado mambo yamebadilisha shekheWale wanaoamini katika falsafa za Mwalimu Nyerere wakumbuke maneno haya
CCM itangushwa na wana CCM wenyewe
No reform no election ni falsafa muhimu sana kwa wakati huu lakini Hawa wanaoihubiri kwa nguvu sana sio wanaoenda kunufaika nayo
Aminini nawambieni yupo huyu mtu mwenye nguvu nyingi na mikakati imara zaidi ya hayat yule wa Monduli
ACT kusaini maadili sio matakwa Yao kama chama Bali ni maandalizi ya kumpokea huyu mwanakondoo aletaye matumaini
Wale wazee wa suti nyeusi baadhi Yao wako nyuma yake kwa Siri sana
Makanisa yote yapo nyuma yake kwa Siri na kwa dhahiri
Hakika nawambieni huu unakwenda kuwa uchaguzi mgumu kwa chama tawala kuliko yote kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu
Zingatia huu sio utabiri ni jambo hilpo kwenye mikakati haswaa
Gwajima ni Mrema Wa Vunjo alietokea kwenye kanisa amna kitu hapoUkisikia uasi ndio huo, mwanachama anakiasi chama chake na kwenda kujiuunga na kikundi kingine cha kisiasa. Pale ccm kwa sasa mwanachama machachari ni Mpina akifuatiwa na askofu Gwajima, Wale wanaweza kujenga hoja ndani na nje ya ccm wakaeleweka kwa wananchi na wakaungwa mkono. kama wapo wengine wakinukishe mapema wananchi wawaunge mkono kwenye uchaguzi