Atatoka Chama tawala atawapitia G55 ataenda nao Hadi ACT je huyu ndiye au tumsubiri ajaye

Kindus

JF-Expert Member
May 14, 2014
3,415
2,107
Wale wanaoamini katika falsafa za Mwalimu Nyerere wakumbuke maneno haya
CCM itangushwa na wana CCM wenyewe

No reform no election ni falsafa muhimu sana kwa wakati huu lakini Hawa wanaoihubiri kwa nguvu sana sio wanaoenda kunufaika nayo

Aminini nawambieni yupo huyu mtu mwenye nguvu nyingi na mikakati imara zaidi ya hayat yule wa Monduli

ACT kusaini maadili sio matakwa Yao kama chama Bali ni maandalizi ya kumpokea huyu mwanakondoo aletaye matumaini

Wale wazee wa suti nyeusi baadhi Yao wako nyuma yake kwa Siri sana

Makanisa yote yapo nyuma yake kwa Siri na kwa dhahiri

Hakika nawambieni huu unakwenda kuwa uchaguzi mgumu kwa chama tawala kuliko yote kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu

Zingatia huu sio utabiri ni jambo hilpo kwenye mikakati haswaa
 
Uchaguzi mgumu kwa CCM? kwa tume ipi?

#NoReformsNoElections
 
Ukisikia uasi ndio huo, mwanachama anakiasi chama chake na kwenda kujiuunga na kikundi kingine cha kisiasa. Pale ccm kwa sasa mwanachama machachari ni Mpina akifuatiwa na askofu Gwajima, Wale wanaweza kujenga hoja ndani na nje ya ccm wakaeleweka kwa wananchi na wakaungwa mkono. kama wapo wengine wakinukishe mapema wananchi wawaunge mkono kwenye uchaguzi
 
Hakuna KITU kama hicho. Labda kama kungekuwa msimu ambao mgombea ni mpya hatokei white house kwenda majukwaani. CCM ni likitu kubwa sana na linamikoni Kila sehemu siku ya kuanguka Hadi sisimizi watajua Kuna KITU kimetokea nchini. KWA Sasa Bado ni mikwara tu, hakuta KUWA na kipya KWA maono yangu machanga.
 
Wenje, Lema, Mdee, Bulaya, Sugu wote ni Team Lindi kuchele ni swala la muda tu 😁
Lisu ndiyo mtanzania pekee ambaye aliongea na kupaza sauti tukiwa wote tumefyata mkia mbele ya JPM.
Akaishia kulambwa risasi. Leo mambo yapo hadharani waliompiga risasi LISU sote tumewajua .
Ni hawa waliomkamata, wengine walienda kumuona hospital NAIROBI.
 
Wale wanaoamini katika falsafa za Mwalimu Nyerere wakumbuke maneno haya
CCM itangushwa na wana CCM wenyewe

No reform no election ni falsafa muhimu sana kwa wakati huu lakini Hawa wanaoihubiri kwa nguvu sana sio wanaoenda kunufaika nayo

Aminini nawambieni yupo huyu mtu mwenye nguvu nyingi na mikakati imara zaidi ya hayat yule wa Monduli

ACT kusaini maadili sio matakwa Yao kama chama Bali ni maandalizi ya kumpokea huyu mwanakondoo aletaye matumaini

Wale wazee wa suti nyeusi baadhi Yao wako nyuma yake kwa Siri sana

Makanisa yote yapo nyuma yake kwa Siri na kwa dhahiri

Hakika nawambieni huu unakwenda kuwa uchaguzi mgumu kwa chama tawala kuliko yote kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu

Zingatia huu sio utabiri ni jambo hilpo kwenye mikakati haswaa
ACT hii ya Zitto unavichekesho sana G55 wana Ushawishi gani mtaani walibebwa na Chadema tofauti na hapo mfano Covid 19 nje ya Chadema wamenaki hawana Ushawishi wowote wakienda CCM ndo wanakufa kabisa ACT bado mambo yamebadilisha shekhe
 
Ukisikia uasi ndio huo, mwanachama anakiasi chama chake na kwenda kujiuunga na kikundi kingine cha kisiasa. Pale ccm kwa sasa mwanachama machachari ni Mpina akifuatiwa na askofu Gwajima, Wale wanaweza kujenga hoja ndani na nje ya ccm wakaeleweka kwa wananchi na wakaungwa mkono. kama wapo wengine wakinukishe mapema wananchi wawaunge mkono kwenye uchaguzi
Gwajima ni Mrema Wa Vunjo alietokea kwenye kanisa amna kitu hapo
 
Back
Top Bottom