Atapata PhD akiwa na miaka 102

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
242
676
Mhitimu wa miaka 95 ,David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuisaka PhD, ambayo itamweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 baada ya kufamikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (MA) katika Chuo Kikuu cha Kingston.

David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya akili, na amehitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kingston na shahada ya uzamili (MA) katika Falsafa ya Kisasa ya Ulaya.

Alisema shahada yake ilikuwa kazi ngumu kuipata kwa sababu ya uwezo wake wa kumbukumbu kuwa tofauti na ilivyokuwa zamani.

FB_IMG_1707227920489.jpg
 
Back
Top Bottom