Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,683
- 119,318
Thubutu!Mbona ripoti hazijawataja Rais Mkapa na Rais Kikwete!
Nandio maana Jana bungeni wezi wenzao waliwaimbia wanaimani na mkapa na kikwete ndio siasa hizo za tzMkapa na kikwete ni majizi tu, hawana tofauti na Chenge, ila Chenge amezidi yeye kila dili ya mabilioni yumo
... Ametoa wito kwa rais Magufuli kuifuta Kinga ya marais wastaafu hawa Wafutiwe Kinga ya Kutokushitakiwa, wawe ndio watu wa kwanza kupandishwa Kizimbani kwa nini waliridhia sheria hizi mbovu na kuzipa baraka zitumike? .
Hao hao Mnyika akiwakumbusha watamwita DalaliKwa Makosa haya yaliyotajwa siyo ya kuanza na watu Wa chini .
Kwa maoni yangu hata wale waliopitisha sheria ya gesi na mafuta bungeni mwaka Jana saa tano usiku Wanapaswa kushughulikiwa !
Eti wakamwambia Johnn Mnyika document zake kuhusu rasilimali za taifa ni za kufungia vitumbua !
sijasahau mpaka leo !
Kwa hiyo na wewe unawatetea!???Mbona ripoti hazijawataja Rais Mkapa na Rais Kikwete!