'Aslay mihogo' inawaka moto muda huu

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
502
2,041
Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini Dar es Salaaam aitwaye Asley Mihogo.a

Jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda yameisha

Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini Dar es Salaaam aitwaye Asley Mihogo.

Updates..
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Saad Mtambule , amefika eneo la Coco Beach kujionea hali ilivyo baada ya kuteketea kwa Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu eneo hilo Asley Mihogo alfajiri ya leo.


 
Mnaendelea kufanyiana rohombaya tu?Mwisho wenu mbaya sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom