Kwa kuwa mbinu zote zimeshindikana na hii ndio mbinu yao ya mwisho basi hii mbinu itakaposhindwa( baada ya muda) basi ndio mwisho wa ccm na genge lake.Wakuu,
CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli?
=====
"Kampeni hizi (Za uchaguzi wa Serikali za Mitaa) zimeanza, tumeona jinsi ambavyo viongozi wa vyama vya upinzani wanavyonyanyaswa, wanavyofanyiwa, hata mkifuatilia kwenye mtandao yapo mambo yanaendelea…Mbowe amekamatwa, yaani yaleyale yanajirudia. Tunajiuliza ni nani hao wenye hayo mamlaka, wenye hicho kiburi cha kutowasikiliza Watanzania?"- Askofu Dkt. Fredrick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini.
HahahaWizi WA kura huwa adhabu yake Kwa mola ni kifo.
Huyu mzee anazeeka vibaya, kweli uchawi pesaWakuu,
CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli?
=====
"Kampeni hizi (Za uchaguzi wa Serikali za Mitaa) zimeanza, tumeona jinsi ambavyo viongozi wa vyama vya upinzani wanavyonyanyaswa, wanavyofanyiwa, hata mkifuatilia kwenye mtandao yapo mambo yanaendelea…Mbowe amekamatwa, yaani yaleyale yanajirudia. Tunajiuliza ni nani hao wenye hayo mamlaka, wenye hicho kiburi cha kutowasikiliza Watanzania?"- Askofu Dkt. Fredrick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini.
Kuwa na aibu wewe huoni kinachoendelea?Huyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
Maiti inayotembea kimya!!! Chawa kafiriHuyu mzee anazeeka vibaya, kweli uchawi pesa
Mama Ako ana tabia ya ukwale tuchukulie ni Malaya, kwahiyo umalaya wake unamzuia kukuonya wewe kama mwanae???Huyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
Ufisadi wa maza mnautaja kauza ngoroñgoro na bàndari.Huyo askofu fisadi tu waongee wengine sio huyu mzee
Hata katiba ya Dayosisi ameikanyanga kwa miguu yake.Mama Ako ana tabia ya ukwale tuchukulie ni Malaya, kwahiyo umalaya wake unamzuia kukuonya wewe kama mwanae???
Tuchukulie Askofu ni Fisadi ambaye hajathibitishwabna chombo chochote kile, inamnyima uhalali wa kukemea jambo la hovyo??