Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 339
- 705
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira
Amesema hayo Septemba 14, 2024 katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Demokrasia yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Demokrasia (NDI) kutoka Marekani iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Askofu Mwamakula amesema "Hakuna mijadala tena kwenye vyuo viku na hali imekuwa mbaya na hata wahadhiri kwenye vyuo vikuu wamekuwa chawa. Sasa kwa hali kama hii nchi yetu inakuwa mbaya sana,"