Askofu Gwajima Amshambulia Bashite Kwa Kishindo. Aonyesha SMS ya Anthony Diallo

alvinroley

Member
Sep 30, 2016
71
251
Leo katika kanisa la Ufufuo na Uzima Yule askofu machachari Askofu Gwajima amejibu mashambulizi ya hotuba ya RC wa Dar Es Salaam yaliyofanyika television ya Star TV majuma kadhaa yaliyopita. Amechambua hotuba yote aliyofanya RC pale Star TV, ameeleza elimu ya Nape Nnauye, amechambua tukio la uvamizi pale Clouds FM na akaeleze uhalali wa jina la Bashite Kwa RC. Askofu Gwajima ameshusha nondo zake za kutosha kudhihirisha kuwa muhusika wa hotuba jina lake halali ni Bashite. Ameenda mbali na kudai kuwa hata namba za simu za baba yake kwenye miamala ya fedha zimesajiliwa kwa jina la Bashite. Na akaitaja namba husika. Anasema kabla sakata halijapamba moto bila wao kushtukia aliruka had mwanza na ana picha alizopiga kwenye rejesta za shule ya msingi na sekondari na majina ya muhusika yalikuwa ni Bashite. Pia askofu Gwajima anasema wiki iliyopita aliwasiliana na Anthony Diallo kumuuliza kwa nin aliruhusu kipindi cha kumdhalilisha. Askofu anasema Mh Diallo alimjibu kuwa aliweza kumruhusu kumpa kipindi kwa kuwa Bashite alimuambia kuwa nataka kuonyesha vyeti kwa watanzania na hivyo Diallo akaona ni jambo jema. Askofu anasema hata baada ya kipindi Mh Diallo alishangaa kwa sababu Bashite hakufanya kama alivyoomba. Askofu akaonyesha ujumbe mfupi wa simu uliotoka kwa Diallo.
Najaribu ku-upload clip lakini inafail.

Hotuba yake yote ameshaiweka YouTube.
View attachment 519104
00078267ac32aed2825cb927bbccd48b.jpg
Hii inamsaidia nini Gwajima na wapambe wake?
 
Gwajima leo amemwaga mboga.
 
Uzushi mtupu, tuma hiyo sms ya Diallo tuthibitishe, utumbo mtupu kudai eti namba ya baba yake inasomeka Albert Malyangili Bashite. Je kama ni mwingine na siyo Baba yake, huyu anayeongoza Dsm ni Paul Christian Makonda na siyo mtoto wa Albert Malyangili Bashite, hivi ni vitu viwili tofauti. Gwajima kashindwa kutofautisha kabisa wala hata kuunganisha ushahidi wake kuwa Albert Malyangili Bashite ni baba halisi wa Paul Christian Makonda. Alitakiwa atuambie kuwa Paul Christian Makonda ni huyu hapa na Namba zake za simu ni hizi hapa na Daudi Albert Bashite ni huyu hapa na namba zake za simu ni hizi hapa. Wazazi wa Paul Christian Makonda sote tuliwaona kupitia Runinga tena wakijutambulisha kwa majina halali kabisa. Mzee Makonda alijitambulisha kwa mdomo wake. Halafu leo huyu mlopokaji akaendelea kuropoka akiwakoga waumini wake ambao wanamuogopa kwa hofu ya kuwachukulia wake zao wanashangilia. Ajabu na kweli.
 
Back
Top Bottom