johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,225
- 168,794
Mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima amewashauri Waumini wake kwamba endapo watafuatwa na Polisi katika namna yoyote ile Wahakikishe kabla ya kuondoka wamepiga selfie na Afande na kuituma kwenye Magroup yote kwa Usalama zaidi
Askofu Dr Gwajima amesema Tanzania kwa sasa si salama sana lakini Yeye Hatatekwa katika Jina la Yesu aliye hai
Askofu Dr Gwajima amewataka Waumini wa Kanisa lake wawe makini sana katika nyakati hizi za Uovu
Credit: Twaha Mwaipaya Ukurasani X