johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,162
- 164,612
Askofu Dr Bagonza wa KKKT amewashangaa Chadema Kwa kuchafuana hadharani kisa Mwanachama mmoja katangaza Kugombea nafasi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe aliyedumu Kwa miongo Miwili Madarakani
" Kama katumwa na CCM au anahamia CCM au ACT Kwanini mnavuana nguo na kukipasua Chama Kwa Mtu Anayeondoka Chadema?
Kama Chama Imara na Mbowe ni Imara ana Wapiga Kura wengi Kwanini mnahangaika na Mtu asiye na Wapiga Kura?
Ukurasani X
Nawatakieni Dominica njema 🌹