Pre GE2025 Askofu Bagonza: Watu wanatekwa na kupotea kama sindano Nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
790
1,669
Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe.

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Aidha amesema Watu wanatekwa na kupotea kama sindano Nchini mtu akiwa ametoa maoni yake tu, na kufikia hatu kuifanya nchi kuonekana ya magaidi.

Nchi zinazoongoza kwa WATU KUPOTEA ;
-MAREKANI -Mwaka 2021.... waliripotiwa kupotea watu 521,705.
-India -Kila baada ya saa 1 watu 88 hupotea.
-Uingereza -watu 180,000 kwa mwaka.
-Sri Lanka-makumi ya maelfu kila mwaka.
 
Chifu Hangaya aka Chura Kiziwi nikusihi kuna mazuri ya kurithi toka kwa Mtanguzi wako JIWE lakini haya;
  • Kutekana
  • Kuharibu na kubaka UCHAGUZI
-;Kupenda kusifiwa sifiwa...HAYA SIO , YANAKUCHAFUA
 
Hivi kuna mtu amesifiwa zaidi ya baba wa taifa ?!!

Sisi ni waafrika wenye TAKRIMA nyingi sana ,sidhani kumsifia Rais(chief comforter of the nation) ni kitu kibaya....

Marekani ndio nchi inayoongoza kwa watu kupotea(2021-watu 521,705),India -watu 88 kila saa 1 , Uingereza -watu 180,000 kwa mwaka.
Biashara ya HUMAN TRAFFICKING ni pana sana...
 
Si

SIjasema Kupenda kusifiwa, nimeandika kupenda kusifiwa sifiwa..Baba wataifa alisifiwa
 
Back
Top Bottom