Askofu Bagonza: Wanasheria wetu Ujanja wao unaishia Kisutu, na Wachumi wetu Ujanja wao unaishia Kariakoo, Mkataba wa Bandari hawauelewi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
95,417
167,174
Hajakosea kabisa, mtu anadiriki kusema kwamba hakuna tatizo kwasababu tumesaini INTER GOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) bado hatujasaini HOST GOVERNMENT AGREEMENT (HGA), kana kwamba hiyo IGA haitoa haki na wajibu wa kisheria kwa mataifa yote mawili. Ambacho wengi hawakifahamu ni kwamba IGA imesainiwa baina ya Tanzania na Dubai kwasababu, serikali ya Tanzania na UAE hazijawahi kusaini BILATERAL INVESTMENT TREATY (BIT).​

============================================================
HAPO CHINI NDICHO NIMEMJIBU JANA MMOJA YA WATETEZI WA HUU MKATABA WA HOVYO:

Mimi naiangalia mikataba tokea awamu ya Mzee Benjamini. Wakina Mwanyika wanaingia mikataba ya hovyo na Acacia mimi nipo. Bilateral Investment Treaties (BIT) zinaangaliwa upya kipindi cha Raisi Magufuli mimi nipo nafuatilia vizuri tu. Mitafaruku inatokea na wawekezaji kama San Lodges Mikindani Estates Mtwara, ndege zinakamatwa kule Afrika Kusini mimi nipo nashuhudia. Tanganyika inapelekwa kwenye mahakama za Uingereza kisa makinikia mimi nipo nashuhudia kwa macho yangu.

Itoshe kusema nimefanya kazi kwenye hizi mahakama za kimataifa ambako sheria za kimataifa zinatumika. Kiufupi INTERNATIONAL ECONOMICS LAW ndiyo uwanja wangu wa nyumbani, na wahenga husema mcheza kwao hutuzwa. Nimesoma na nimefundishwa sheria na wasomi wakubwa hapa nchini na duniani. Wewe BUSH LAWYER utaniambia nini mimi nisichokifahamu ?

Eti mara IGA, mara HGA unadhani unaonekana mwerevu. Kiufupi ni wajinga tu ndiyo wanachekelea wasiyoyafahamu. Sasa hebu nikupashe habari kidogo jinsi ambavyo duniani kote mambo yanafanyika ili uachane na ujinga. Mikataba ya biashara duniani kote, msingi wake hujengwa kwenye kitu kiitwacho BILATERAL INVESTMENT TREATIES (BIT's) ambazo nchi moja husaini na nchi nyingine ili kuruhusu uwekezaji baina ya raia, mashirika na makampuni ya nchi hizo mbili. Hii mikataba huwa inaweza kusimamiwa na sheria za kimataifa kama zile za World Trade Organization Rules (WTO Rules) au Customary International Law. Wewe mjinga haya unayafahamu ?

Sasa Tanzania ina BITs kama 21 hivi ambazo zinaruhusu uwekezaji nchini. Bahati mbaya sana taifa kama United Araba Emirates (UAE) halijawahi kusaini BIT na Tanzania, hivyo sasa wanafanyaje ili kuweza kuruhusu uwekezaji kwenye nchi zao ? Inabidi wasaini INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) ambayo itakuwa na nguvu sana BILATERAL INVESTMENT TREATY. Ndiyo maana ukisoma hiyo IGA baina ya Tanzania na Dubai utaona zile kanuni za kisheria za biashara ambazo ziko kwenye BITs nyingine zimo humohumo ndani ya IGA. Hili nadhani madrasa haujafundishwa, hivyo ngoja nikupashe.

Kanuni za sheria ya biashara ambazo zinatakiwa kuwa ndani ya IGA na BIT ni hizi hapa:

Mosi
, THE RULES AGAINST EXPROPRIATION.
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwa namna yoyote ile haitajaribu kushika au kukamata mali za huyo mwekezaji hata itokee nini. Kwenye hiyo IGA yenu ni IBARA YA 14. Hii kanuni ndiyo ilitumika na ACACIA, SUN LODGES kuiburuza Tanzania kwenye mahakama za kimataifa kipindi cha Raisi Magufuli.

Pili, THE RULES AGAINST DISCRIMINATION.
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwa namna yoyote ile haitabagua wawekezaji wa nchi inayowekeza endapo watakuja kuwekeza kwenye nchi. Kwenye hiyo IGA yenu ni IBARA YA 11. Hivyo basi Tanganyika haitatakiwa kuwabagua waarabu wa DP World ambao watakuja kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ya bandari kupitia HGAs au PROJECT AGREEMENTS.

Tatu, THE MOST FAVOURED NATION
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwasababu imesaini makubaliano na mwekezaji, basi wawekezaji watakapokuja watapewa huduma za haraka kuliko raia wa mataifa mengine ambayo hayajasaini nayo IGA au BIT. Kwenye ile IGA yenu IBARA ZA 11 na 5 zinasema hiki kitu. Kama unakumbuka vizuri, Al Hajj Aliko Dangote alipata shida sana kwenye viwanda vyake kwasababu hii kanuni ilivunja kutokana na ukweli kwamba Tanzania na Nigeria hatuna BIT wala IGA. Kiufupi utatakiwa kuwapenda DP World kama ambayo unawapenda TICTS na raia wengine wa Tanzania.

Naamani haya kwaleo yanakutosha, nikikupa mengine sidhani kama utakuwa na kichwa cha kubeba. Sasa tunarudi kwenye HGA, nini maana ya Host Government Agreement ???

HOST GOVERNMENT AGREEMENT, ni mkataba wa kulinda uwekezaji husika (Specific Project) ambao unasainiwa baina ya nchi mbili ambazo zimesaini INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT hapo awali. Katika maana nyingine ni kwamba HGA ndiyo mkataba ambao unaanzisha utekelezaji wa miradi ambayo imekusudiwa ndani ya IGA. Hivyo, ili HGA inaanzisha mradi na kuulinda kwa kufuata kanuni ambazo nimezitaja hapo juu.

Kwenye hiyo IGA yenu kama kweli umesoma na kuelewa, maneno mawili yametumika. HGA au PROJECT AGREEMENT, lakini wewe likakupita ukadhani haya ni maneno tofauti au yenye ufundi. Jibu ni hapana, HGA inaweza ikaitwa majina kama PROJECT AGREEMENT au A BUSINESS CONCESSION. Like Notorious BIG once said "If you don't know, now you know"

NB 1: IGA ni baba wa HGA/PROJECT AGREEMENT, hivyo kama hakuna IGA basi hakuna HGA.

NB 2: Mlizani kila mtanzania ni mjinga lakini kipindi hiki yanawatokea puani. Hivi unadhani kwanini watu wenye akili kama Dr Eliezer Mbuki Feleshi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wengine wamenyamaza kimya sana kipindi hiki. Mama yenu katengenezewa ajali ya kisiasa na akanasa mazima. Hichi alichokifanya ni UHAINI (High Treason) na tutaenda naye mpaka mwisho.

NB 3: Huu mkataba (IGA) una majina matatu ya Wazanzibar ambao Samia (Raisi), Mbarawa (Waziri) na Aisha (Katibu Mkuu). Majina mengine hapo kiutaratibu hayakutakiwa kuwepo kwasababu za kimamlaka. Mkataba mkubwa kama huu alitakiwa awepo Dr Mbuki Feleshi na Mkurugenzi wa Bandari.

BITs nyingine zina majina kama Nyerere (Raisi) au Mkapa (Raisi), Chenge (Mwanasheria Mkuu) au Mwanyika (Mwanasheria Mkuu), na kiongozi mwingine mwenye dhamana. Huoni kama kuna walakini hapo ??? Kilichomponza Lowassa, Karamagi na Msabaha kwenye RICHMOND ni kusaini mikataba ambayo hakuwa na mamlaka nayo hivyo wakaingia QIBRA wahuni wakashusha kisu.

Bwahahahaa, mama yenu kaingia QIBRA. Wewe usiyeelewa utaniambia nini mimi ????​
 
Askofu Dr Bagonza amesema Kati ya Wanasheria waliojadili Mkataba wa Bandari ni wachache sana ndio wameeleweka

Tatizo Wanasheria wetu Ujanja wao unaishia Kisutu na Wachumi wetu Ujanja wao unaishia Kariakoo Mkataba wa Bandari hawauelewi na Wakiuelewa hawatuelezi tukauelewa

Source Jambo TV
Omba sasa lists ya hao wanasheria ujionee, ni vigango tuh

Wamejazana huko kwnye taasisi za umma wanachojua ni kuiba na kukimbilia kutoa fungu la kumi tuh, tokea nchi hii ipate uhuru hawana cha maana wameifanyia zaid ya kuibia taifa tuh
 
Askofu Dr Bagonza amesema Kati ya Wanasheria waliojadili Mkataba wa Bandari ni wachache sana ndio wameeleweka

Tatizo Wanasheria wetu Ujanja wao unaishia Kisutu na Wachumi wetu Ujanja wao unaishia Kariakoo Mkataba wa Bandari hawauelewi na Wakiuelewa hawatuelezi tukauelewa

Source Jambo TV
Wangesema mkataba upi walishawahi kuusemea wakafanikisha kulinusuru taifa.
 
Askofu Dr Bagonza amesema Kati ya Wanasheria waliojadili Mkataba wa Bandari ni wachache sana ndio wameeleweka

Tatizo Wanasheria wetu Ujanja wao unaishia Kisutu na Wachumi wetu Ujanja wao unaishia Kariakoo Mkataba wa Bandari hawauelewi na Wakiuelewa hawatuelezi tukauelewa

Source Jambo TV
Hili la bandari ni Kama bado tuko First half dk 17'
 
Hajakosea kabisa, mtu anadiriki kusema kwamba hakuna tatizo kwasababu tumesaini INTER GOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) bado hatujasaini HOST GOVERNMENT AGREEMENT (HGA), kana kwamba hiyo IGA haitoa haki na wajibu wa kisheria kwa mataifa yote mawili. Ambacho wengi hawakifahamu ni kwamba IGA imesainiwa baina ya Tanzania na Dubai kwasababu, serikali ya Tanzania na UAE hazijawahi kusaini BILATERAL INVESTMENT TREATY (BIT).

============================================================
HAPO CHINI NDICHO NIMEMJIBU JANA MMOJA YA WATETEZI WA HUU MKATABA WA HOVYO:

Mimi naiangalia mikataba tokea awamu ya Mzee Benjamini. Wakina Mwanyika wanaingia mikataba ya hovyo na Acacia mimi nipo. Bilateral Investment Treaties (BIT) zinaangaliwa upya kipindi cha Raisi Magufuli mimi nipo nafuatilia vizuri tu. Mitafaruku inatokea na wawekezaji kama San Lodges Mikindani Estates Mtwara, ndege zinakamatwa kule Afrika Kusini mimi nipo nashuhudia. Tanganyika inapelekwa kwenye mahakama za Uingereza kisa makinikia mimi nipo nashuhudia kwa macho yangu.

Itoshe kusema nimefanya kazi kwenye hizi mahakama za kimataifa ambako sheria za kimataifa zinatumika. Kiufupi INTERNATIONAL ECONOMICS LAW ndiyo uwanja wangu wa nyumbani, na wahenga husema mcheza kwao hutuzwa. Nimesoma na nimefundishwa sheria na wasomi wakubwa hapa nchini na duniani. Wewe BUSH LAWYER utaniambia nini mimi nisichokifahamu ?

Eti mara IGA, mara HGA unadhani unaonekana mwerevu. Kiufupi ni wajinga tu ndiyo wanachekelea wasiyoyafahamu. Sasa hebu nikupashe habari kidogo jinsi ambavyo duniani kote mambo yanafanyika ili uachane na ujinga. Mikataba ya biashara duniani kote, msingi wake hujengwa kwenye kitu kiitwacho BILATERAL INVESTMENT TREATIES (BIT's) ambazo nchi moja husaini na nchi nyingine ili kuruhusu uwekezaji baina ya raia, mashirika na makampuni ya nchi hizo mbili. Hii mikataba huwa inaweza kusimamiwa na sheria za kimataifa kama zile za World Trade Organization Rules (WTO Rules) au Customary International Law. Wewe mjinga haya unayafahamu ?

Sasa Tanzania ina BITs kama 21 hivi ambazo zinaruhusu uwekezaji nchini. Bahati mbaya sana taifa kama United Araba Emirates (UAE) halijawahi kusaini BIT na Tanzania, hivyo sasa wanafanyaje ili kuweza kuruhusu uwekezaji kwenye nchi zao ? Inabidi wasaini INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) ambayo itakuwa na nguvu sana BILATERAL INVESTMENT TREATY. Ndiyo maana ukisoma hiyo IGA baina ya Tanzania na Dubai utaona zile kanuni za kisheria za biashara ambazo ziko kwenye BITs nyingine zimo humohumo ndani ya IGA. Hili nadhani madrasa haujafundishwa, hivyo ngoja nikupashe.

Kanuni za sheria ya biashara ambazo zinatakiwa kuwa ndani ya IGA na BIT ni hizi hapa:

Mosi
, THE RULES AGAINST EXPROPRIATION.
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwa namna yoyote ile haitajaribu kushika au kukamata mali za huyo mwekezaji hata itokee nini. Kwenye hiyo IGA yenu ni IBARA YA 14. Hii kanuni ndiyo ilitumika na ACACIA, SUN LODGES kuiburuza Tanzania kwenye mahakama za kimataifa kipindi cha Raisi Magufuli.

Pili, THE RULES AGAINST DISCRIMINATION.
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwa namna yoyote ile haitabagua wawekezaji wa nchi inayowekeza endapo watakuja kuwekeza kwenye nchi. Kwenye hiyo IGA yenu ni IBARA YA 11. Hivyo basi Tanganyika haitatakiwa kuwabagua waarabu wa DP World ambao watakuja kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ya bandari kupitia HGAs au PROJECT AGREEMENTS.

Tatu, THE MOST FAVOURED NATION
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwasababu imesaini makubaliano na mwekezaji, basi wawekezaji watakapokuja watapewa huduma za haraka kuliko raia wa mataifa mengine ambayo hayajasaini nayo IGA au BIT. Kwenye ile IGA yenu IBARA ZA 11 na 5 zinasema hiki kitu. Kama unakumbuka vizuri, Al Hajj Aliko Dangote alipata shida sana kwenye viwanda vyake kwasababu hii kanuni ilivunja kutokana na ukweli kwamba Tanzania na Nigeria hatuna BIT wala IGA.

Naamani haya kwaleo yanakutosha, nikikupa mengine sidhani kama utakuwa na kichwa cha kubeba. Sasa tunarudi kwenye HGA, nini maana ya Host Government Agreement ???

HOST GOVERNMENT AGREEMENT, ni mkataba wa kulinda uwekezaji husika (Specific Project) ambao unasainiwa baina ya nchi mbili ambazo zimesaini INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT hapo awali. Katika maana nyingine ni kwamba HGA ndiyo mkataba ambao unaanzisha utekelezaji wa miradi ambayo imekusudiwa ndani ya IGA. Hivyo, ili HGA inaanzisha mradi na kuulinda kwa kufuata kanuni ambazo nimezitaja hapo juu.

Kwenye hiyo IGA yenu kama kweli umesoma na kuelewa, maneno mawili yametumika. HGA au PROJECT AGREEMENT, lakini wewe likakupita ukadhani haya ni maneno tofauti au yenye ufundi. Jibu ni hapana, HGA inaweza ikaitwa majina kama PROJECT AGREEMENT au A BUSINESS CONCESSION. Like Notorious BIG once said "If you don't know, now you know"

NB 1: IGA ni baba wa HGA/PROJECT AGREEMENT, hivyo kama hakuna IGA basi hakuna HGA.

NB 2: Mlizani kila mtanzania ni mjinga lakini kipindi hiki yanawatokea puani. Hivi unadhani kwanini watu wenye akili kama Dr Eliezer Mbuki Feleshi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wengine wamenyamaza kimya sana kipindi hiki. Mama yenu katengenezewa ajali ya kisiasa na akanasa mazima. Hichi alichokifanya ni UHAINI (High Treason) na tutaenda naye mpaka mwisho.

NB 3: Huu mkataba (IGA) una majina matatu ya Wazanzibar ambao Samia (Raisi), Mbarawa (Waziri) na Aisha (Katibu Mkuu). Majina mengine hapo kiutaratibu hayakutakiwa kuwepo kwasababu za kimamlaka. Mkataba mkubwa kama huu alitakiwa awepo Dr Mbuki Feleshi na Mkurugenzi wa Bandari.

BITs nyingine zina majina kama Nyerere (Raisi) au Mkapa (Raisi), Chenge (Mwanasheria Mkuu) au Mwanyika (Mwanasheria Mkuu), na kiongozi mwingine mwenye dhamana. Huoni kama kuna walakini hapo ??? Kilichomponza Lowassa, Karamagi na Msabaha kwenye RICHMOND ni kusaini mikataba ambayo hakuwa na mamlaka nayo hivyo wakaingia QIBRA wahuni wakashusha kisu.

Bwahahahaa, mama yenu kaingia QIBRA. Wewe usiyeelewa utaniambia nini mimi ????​
Huu sio uchambuzi wa kisheria. Haya ni maneno ya kisiasa tu ambayo kila mtu anaweza kuyaongea.

Mlianza na Bandari kuuzwa. Mmebanwa muoneshe kifungu kilichouza hizo bandari mmekosa!

Mkaamia waarabu wamepewa bandari zote. Mmebanwa kuonesha hicho kifungu mmekosa !

Mkaja mkataba hauna ukomo. Mkaambiwa hii ni IGA sio HGA. Hakuna sehemu mwekezaji amepewa kwenye IGA ila hayo yote na muda wa kupewa vitasemwa kwenye HGA sasa mmeshindwa kutetea mmeamia eti Feleshi Kakaa kimya!

Kwa hiyo sasaivi mmetoka kwenye hoja zote mmeamia kwa Feleshi kakaa kimya

Kweli ujinga kipaji
 
Askofu Dr Bagonza amesema Kati ya Wanasheria waliojadili Mkataba wa Bandari ni wachache sana ndio wameeleweka

Tatizo Wanasheria wetu Ujanja wao unaishia Kisutu na Wachumi wetu Ujanja wao unaishia Kariakoo Mkataba wa Bandari hawauelewi na Wakiuelewa hawatuelezi tukauelewa

Chanzo: Jambo TV
 
Attachments

  • 3FE3BA1A-9713-4F15-8294-949B87F4A1B6.jpeg
    3FE3BA1A-9713-4F15-8294-949B87F4A1B6.jpeg
    55 KB · Views: 8
Huu sio uchambuzi wa kisheria. Haya ni maneno ya kisiasa tu ambayo kila mtu anaweza kuyaongea.

Mlianza na Bandari kuuzwa. Mmebanwa muoneshe kifungu kilichouza hizo bandari mmekosa!

Mkaamia waarabu wamepewa bandari zote. Mmebanwa kuonesha hicho kifungu mmekosa !

Mkaja mkataba hauna ukomo. Mkaambiwa hii ni IGA sio HGA. Hakuna sehemu mwekezaji amepewa kwenye IGA ila hayo yote na muda wa kupewa vitasemwa kwenye HGA sasa mmeshindwa kutetea mmeamia eti Feleshi Kakaa kimya!

Kwa hiyo sasaivi mmetoka kwenye hoja zote mmeamia kwa Feleshi kakaa kimya

Kweli ujinga kipaji
Bwashee umewahi kupita hata mafunzo ya mgambo achilia mbali Vita Vya Mutukura😃😃
 
Hajakosea kabisa, mtu anadiriki kusema kwamba hakuna tatizo kwasababu tumesaini INTER GOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) bado hatujasaini HOST GOVERNMENT AGREEMENT (HGA), kana kwamba hiyo IGA haitoa haki na wajibu wa kisheria kwa mataifa yote mawili. Ambacho wengi hawakifahamu ni kwamba IGA imesainiwa baina ya Tanzania na Dubai kwasababu, serikali ya Tanzania na UAE hazijawahi kusaini BILATERAL INVESTMENT TREATY (BIT).

============================================================
HAPO CHINI NDICHO NIMEMJIBU JANA MMOJA YA WATETEZI WA HUU MKATABA WA HOVYO:

Mimi naiangalia mikataba tokea awamu ya Mzee Benjamini. Wakina Mwanyika wanaingia mikataba ya hovyo na Acacia mimi nipo. Bilateral Investment Treaties (BIT) zinaangaliwa upya kipindi cha Raisi Magufuli mimi nipo nafuatilia vizuri tu. Mitafaruku inatokea na wawekezaji kama San Lodges Mikindani Estates Mtwara, ndege zinakamatwa kule Afrika Kusini mimi nipo nashuhudia. Tanganyika inapelekwa kwenye mahakama za Uingereza kisa makinikia mimi nipo nashuhudia kwa macho yangu.

Itoshe kusema nimefanya kazi kwenye hizi mahakama za kimataifa ambako sheria za kimataifa zinatumika. Kiufupi INTERNATIONAL ECONOMICS LAW ndiyo uwanja wangu wa nyumbani, na wahenga husema mcheza kwao hutuzwa. Nimesoma na nimefundishwa sheria na wasomi wakubwa hapa nchini na duniani. Wewe BUSH LAWYER utaniambia nini mimi nisichokifahamu ?

Eti mara IGA, mara HGA unadhani unaonekana mwerevu. Kiufupi ni wajinga tu ndiyo wanachekelea wasiyoyafahamu. Sasa hebu nikupashe habari kidogo jinsi ambavyo duniani kote mambo yanafanyika ili uachane na ujinga. Mikataba ya biashara duniani kote, msingi wake hujengwa kwenye kitu kiitwacho BILATERAL INVESTMENT TREATIES (BIT's) ambazo nchi moja husaini na nchi nyingine ili kuruhusu uwekezaji baina ya raia, mashirika na makampuni ya nchi hizo mbili. Hii mikataba huwa inaweza kusimamiwa na sheria za kimataifa kama zile za World Trade Organization Rules (WTO Rules) au Customary International Law. Wewe mjinga haya unayafahamu ?

Sasa Tanzania ina BITs kama 21 hivi ambazo zinaruhusu uwekezaji nchini. Bahati mbaya sana taifa kama United Araba Emirates (UAE) halijawahi kusaini BIT na Tanzania, hivyo sasa wanafanyaje ili kuweza kuruhusu uwekezaji kwenye nchi zao ? Inabidi wasaini INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) ambayo itakuwa na nguvu sana BILATERAL INVESTMENT TREATY. Ndiyo maana ukisoma hiyo IGA baina ya Tanzania na Dubai utaona zile kanuni za kisheria za biashara ambazo ziko kwenye BITs nyingine zimo humohumo ndani ya IGA. Hili nadhani madrasa haujafundishwa, hivyo ngoja nikupashe.

Kanuni za sheria ya biashara ambazo zinatakiwa kuwa ndani ya IGA na BIT ni hizi hapa:

Mosi
, THE RULES AGAINST EXPROPRIATION.
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwa namna yoyote ile haitajaribu kushika au kukamata mali za huyo mwekezaji hata itokee nini. Kwenye hiyo IGA yenu ni IBARA YA 14. Hii kanuni ndiyo ilitumika na ACACIA, SUN LODGES kuiburuza Tanzania kwenye mahakama za kimataifa kipindi cha Raisi Magufuli.

Pili, THE RULES AGAINST DISCRIMINATION.
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwa namna yoyote ile haitabagua wawekezaji wa nchi inayowekeza endapo watakuja kuwekeza kwenye nchi. Kwenye hiyo IGA yenu ni IBARA YA 11. Hivyo basi Tanganyika haitatakiwa kuwabagua waarabu wa DP World ambao watakuja kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ya bandari kupitia HGAs au PROJECT AGREEMENTS.

Tatu, THE MOST FAVOURED NATION
Hapa nchi (Host Government) inakubali kwamba kwasababu imesaini makubaliano na mwekezaji, basi wawekezaji watakapokuja watapewa huduma za haraka kuliko raia wa mataifa mengine ambayo hayajasaini nayo IGA au BIT. Kwenye ile IGA yenu IBARA ZA 11 na 5 zinasema hiki kitu. Kama unakumbuka vizuri, Al Hajj Aliko Dangote alipata shida sana kwenye viwanda vyake kwasababu hii kanuni ilivunja kutokana na ukweli kwamba Tanzania na Nigeria hatuna BIT wala IGA.

Naamani haya kwaleo yanakutosha, nikikupa mengine sidhani kama utakuwa na kichwa cha kubeba. Sasa tunarudi kwenye HGA, nini maana ya Host Government Agreement ???

HOST GOVERNMENT AGREEMENT, ni mkataba wa kulinda uwekezaji husika (Specific Project) ambao unasainiwa baina ya nchi mbili ambazo zimesaini INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT hapo awali. Katika maana nyingine ni kwamba HGA ndiyo mkataba ambao unaanzisha utekelezaji wa miradi ambayo imekusudiwa ndani ya IGA. Hivyo, ili HGA inaanzisha mradi na kuulinda kwa kufuata kanuni ambazo nimezitaja hapo juu.

Kwenye hiyo IGA yenu kama kweli umesoma na kuelewa, maneno mawili yametumika. HGA au PROJECT AGREEMENT, lakini wewe likakupita ukadhani haya ni maneno tofauti au yenye ufundi. Jibu ni hapana, HGA inaweza ikaitwa majina kama PROJECT AGREEMENT au A BUSINESS CONCESSION. Like Notorious BIG once said "If you don't know, now you know"

NB 1: IGA ni baba wa HGA/PROJECT AGREEMENT, hivyo kama hakuna IGA basi hakuna HGA.

NB 2: Mlizani kila mtanzania ni mjinga lakini kipindi hiki yanawatokea puani. Hivi unadhani kwanini watu wenye akili kama Dr Eliezer Mbuki Feleshi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wengine wamenyamaza kimya sana kipindi hiki. Mama yenu katengenezewa ajali ya kisiasa na akanasa mazima. Hichi alichokifanya ni UHAINI (High Treason) na tutaenda naye mpaka mwisho.

NB 3: Huu mkataba (IGA) una majina matatu ya Wazanzibar ambao Samia (Raisi), Mbarawa (Waziri) na Aisha (Katibu Mkuu). Majina mengine hapo kiutaratibu hayakutakiwa kuwepo kwasababu za kimamlaka. Mkataba mkubwa kama huu alitakiwa awepo Dr Mbuki Feleshi na Mkurugenzi wa Bandari.

BITs nyingine zina majina kama Nyerere (Raisi) au Mkapa (Raisi), Chenge (Mwanasheria Mkuu) au Mwanyika (Mwanasheria Mkuu), na kiongozi mwingine mwenye dhamana. Huoni kama kuna walakini hapo ??? Kilichomponza Lowassa, Karamagi na Msabaha kwenye RICHMOND ni kusaini mikataba ambayo hakuwa na mamlaka nayo hivyo wakaingia QIBRA wahuni wakashusha kisu.

Bwahahahaa, mama yenu kaingia QIBRA. Wewe usiyeelewa utaniambia nini mimi ????​
Ingawa umemwaga material lakini sijafurahia hiyo egoism yako! Typical African
 
Swali fikirishi je hapo tatizo ni walimu wao ama wenyewe, hata hivyo huo mkataba hauhitaji kusoma shule ya sheria uko wazi kitapeli
 
Back
Top Bottom