Askofu Bagonza Aibuka Sakata la CHADEMA na Polisi Mbeya

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
44,115
82,186
ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE




POINTS TAKEN FROM THE CLIP:
1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja

2. Kuna Uchawa

3. Tubadilishe mind set

4. Wanaipa chadema promotion ya bure

5. Wanataka Tuwe na chama kimoja chadema

6. Rais awaite washaur wake awaagalie kwa jicho kali

7. Kuwafikiria Gen Z kwa mabaya tu ni ufinyu wa mawazo , Gen Z wanafanya mambo makubwa mazuri.

8. Kwa haya waliyofanya polisi Mbeya, sidhani kama kutakuwa na uchaguzi huru na haki maana wapiga kura hawataona haja ya kupiga kura
 
Nchi inaongozwa na mtu duni na dhaifu sana sana!! Mbaya zaidi mama mtu kapokwa sauti na mtoto wake wakumzaa!!
 
Baba Askofu naomba nitofautiane na wewe. Samia hayuko vizuri na 4R zake, she has messed up a lot with 4Rs.
 
Back
Top Bottom