Dr Akili JF-Expert Member Aug 21, 2011 5,098 4,549 Mar 26, 2016 #21 Ya Kaisari apewe Kaisari na ya Mungu apewe Mungu. Hivyo waumini wa madhehebu haya wanapoyachangia pesa madhehebu yao kwa ajili ya ununuzi wa vifaa kwa ajili ya huduma za kijamii hususani afya na elimu nk, wanapaswa kuzingatia hili.
Ya Kaisari apewe Kaisari na ya Mungu apewe Mungu. Hivyo waumini wa madhehebu haya wanapoyachangia pesa madhehebu yao kwa ajili ya ununuzi wa vifaa kwa ajili ya huduma za kijamii hususani afya na elimu nk, wanapaswa kuzingatia hili.