Askari wa kike!

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,895
13,454
FB_IMG_1516729282871.jpg
 
hao wana sehem zao za kupiga na kuzima pambano kwa muda mfupi usimchukulie powa
 
Kama hujui uliza magazini ilipo. Hicho alichoshika kwa mkono Wa kushoto ni nini?
Tulia jombaa .. Haya mambo kwako ni maji marefu.. Kwahyo kwaakili yako unafikiria alichoshika ndio magazine?
 
Askari wa kike mara nyingi hutumika kama siraha mojawapo jeshini...kwa namna alivyo waweza kujikuta upo kwenye kilengeo.
 
Back
Top Bottom