Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

Naomba kufahamu kuhusu mshahara wa mtu aliyeajiriwa kama Polisi ila mwenye taaluma ya fani ya uhandisi( engineer). Je watu hawa wanalipwa shilingi ngapi?

Na mpangilio wa posho umekaaje?

Anayejua please 🙏🙏🙏
 
kanifikirisha sana mkuu,hawa ndio aina ya wasomi tunaozalisha sikuhizi tena engineer kabisa.
Mbona hawa vijana utawakuta wanafuatilia bunge vijiweni kwenye TV,wana magazeti huwa hawaambulii japo chochote?!Hapa Injinia anaonekana ni mweupe anachofahamu ni kwamba digrii/fani zinalipwa basi.Wakimaliza depo wanaanza kupangwa kama mafungu ya nyanya na kuelewana bei...Nani Engineer hapa,unanyoosha mkono ....tukulipe shilingi ngapi mashahara???!!@@!!!
 
Msaidie kama unaelewa, sisi watanzania wengi ni vilaza. Kauliza kwa mwenye uelewa amsaidie kumuelewesha. Unapomaliza chuo huwa ni ngumu sana kufahamu kila kitu, ndio maana unawatafuta wenye uzoefu wakutoe tongo tongo.

Unakuta umepewa option uchaugue JWTZ au POLISI, na wewe ni Engineer tena new graduate huna hili wa lile, hivyo sioni kosa lake.

Anataka afahamu wapi kunamaokoto mengi, maana siku hizi maisha ni pesa.
 
Kazi ya majeshi huyo haiwezi inahitaji unyenyekevu pia,maana hata uingie kule ukiwa Profesa,ni lazima uwe kuruta/Private na ukianza kazi utalipwa mshahara wa kada hizo...Hautalipwa digrii bali itakusaidia kupanda cheo mapema,na cheo ndiyo maokoto menyewe,sasa yeye tayari kwa kuwa injinia ameshajiona ni wa pekee sana na wa muhimu kuliko...
 
Nijuavyo mimi JWTZ ukiwa na degree enzi zetu ulikuwa unaenda moja kwa moja Cadet,Ukitoka cadet unarudi na nyota moja(Luteni usu), baada ya muda unapata mbili luteni, kwa madaktari walikuwa wanaanzia Major kuendelea.

Kwa upande wa Polisi ndio sijui rank zao zikoje huko ndio maana nikasema kama unauelewa msaidie.
Hapa humuoni huwezi jua anaweza kunyenyekea akakushangaza.

Mimi nilikuwa siwezi kabisa kumyenyekea mtu, nilikuwa mtukutu sana tangu utotoni, lakini nilishangaa ukubwani nilijifunza kunyenyekea, kwa sababu kwenye maisha unaweza ukajifanya mjinga kwa muda mfupi yanapiata na ukaendelea na kiburi chako huko uendako.

Mpe shule unaweza kumsaidia kwa namna usiyoweza kuijua.
 
Digrii nyingi tu kila mahali,wote mmechukuliwa mna digrii sasa na ingependeza majeshini huko muende wenye digrii wote,kumbe mtataka wote muanze na Umeja na Ukadeti? Kuruta atatoka wapi au divisheni 4 waendelee tu sasa...basi matatizo ya PGO yataendelea tu kuwepo...any way ngoja wajuvi waje...
 
Hiyo ilikuwa zamani, nami huko siko tena. Kwasasa sifaham chochote au lolote kuhusu jeshi.
 
Back
Top Bottom