LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,260
- 34,248
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)
Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye cheo kikubwa. Tetesi zinasema ni OCD wa Chanika..
Alie toa taarifa anasema ameshindwa kupiga picha kwa sababu askari walio jaa eneo la tukio walikuwa wanazuia watu kupiga picha.
Inna Lilahi.....